Kipande kikubwa cha takataka kilichopo bahari ya pasific

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,286
50,371
Sehemu kubwa ya Takataka ya Pasifiki ni mkusanyiko wa uchafu wa baharini katika Bahari ya Pasifiki ya Kaskazini. Uchafu wa baharini ni takataka ambayo huishia kwenye bahari. Kipande Kikubwa cha Takataka cha Pasifiki, pia kinajulikana kama eneo la takataka la Pasifiki, hutenganisha maji kutoka Pwani ya Magharibi ya Amerika Kaskazini hadi Japani.Kina ukubwa mara mbili ya Texas.

images (21).jpeg
images (22).jpeg
images (19).jpeg
images (20).jpeg
 
Miaka inavyozidi kwenda na hizo taka zikizidi kuzalishwa maana yake hata maeneo mengi ya beach yataharibiwa na uwepo wa hizo takataka.
 
We destroy the world with our own hands
REVELATION 11:18
but the nations became wrathful and your own wrath came and the appointed time came for the dead to be judged and to reward your slaves the prophets and the holy ones and those fearing your name, the small and the great,AND TO BRING RUIN THOSE RUINING THE EARTH.
 
Binadamu ni kiumbe wa ajabu sana, wanatumia mabilioni ya pesa kupeleka silaha Ukraine ili kufanya uharibifu badala ya kutumia hizo pesa kuondoa huu uharibifu wa taka!?

Hii inaelekea ni nguvu ya asili inataka kumwondoa huyu kiumbe binadamu juu ya uso wa dunia kama ilivyotokea kwa ile mijusi mikubwa sii bure!
 
Sehemu kubwa ya Takataka ya Pasifiki ni mkusanyiko wa uchafu wa baharini katika Bahari ya Pasifiki ya Kaskazini. Uchafu wa baharini ni takataka ambayo huishia kwenye bahari. Kipande Kikubwa cha Takataka cha Pasifiki, pia kinajulikana kama eneo la takataka la Pasifiki, hutenganisha maji kutoka Pwani ya Magharibi ya Amerika Kaskazini hadi Japani.Kina ukubwa mara mbili ya Texas.

View attachment 3010617View attachment 3010619View attachment 3010620View attachment 3010621
Kumbe hata majuu nako wachafu.
 
Ivi baadhi zinaweza kuwa zimesafirishwa kutoka Africa Mashariki?
YEP! Tena nyingi tuu. Mfano wa Route uko hv. Msafiri/Abiria kwenye ndege anajibebea maji ya kunywa na akifika China, Australia au Japan au magharibi ya USA anatupa chupa ya maji iliyoisha kwenye dustbin lililo kando ya barabara. Wazoa taka wanayakusanya kupeleka dampo. Wengine madampo yao yapo baharini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom