Habari za leo wana jamvi, nina simu yangu Hisense Infinity H6 U800 ambayo kwa bahati mbaya ilikanyagwa na mtoto na ku-crack kioo chake.
Ninaomba yeyote anayefahamu ninapoweza kupata "screen digitizer" yake anisaidie au Fundi yeyote anayeweza kuitengeneza aje PM nimpe kazi.