M mwaps Senior Member Jan 6, 2014 157 126 Jan 7, 2024 #1 Wakuu mwenye kioo cha Hisense Inch 40 anisaidie,npate bei pia.0677089280.Au anayejua vinakopatikana plz.
Wakuu mwenye kioo cha Hisense Inch 40 anisaidie,npate bei pia.0677089280.Au anayejua vinakopatikana plz.
Dr Matola PhD JF-Expert Member Oct 18, 2010 59,801 103,732 Jan 7, 2024 #2 mwaps said: Wakuu mwenye kioo cha Hisense Inch 40 anisaidie,npate bei pia.0677089280.Au anayejua vinakopatikana plz. Click to expand... Nunuwa TV nyingine isiwe Hisense. Jaribu TCL Kwa bajeti yako itakufaa. Kununuwa kioo kingine ni kukosa kujuwa calculation na risk.
mwaps said: Wakuu mwenye kioo cha Hisense Inch 40 anisaidie,npate bei pia.0677089280.Au anayejua vinakopatikana plz. Click to expand... Nunuwa TV nyingine isiwe Hisense. Jaribu TCL Kwa bajeti yako itakufaa. Kununuwa kioo kingine ni kukosa kujuwa calculation na risk.