Kiongozi wa dini asiyejua kusamehe, vyeti vyetí mpaka lini

raisi2020

Member
Mar 4, 2016
82
83
Naanza kupata shida na hofu kwa baadhi ya viongozi wa dini ktk kuingia ktk siasa, kuna kiongozi mmoja wa dini alitajwa ktk inshu flan flan, ok inawezekana ikawa alitajwa kwa njia sahihi ama si sahihi, ili kila mtu anajua anavyotafsiri,

lakini yule aliyemtaja anamshambulia ktk madhabau kila kukicha kama vile hajui kusamehe kama kiongozi wa dini, ushauri umeshaongea umesikika samehe wewe ni mkristo, kila kukicha vyeti vyeti, mfukuze wewe basi kama una mamlaka, na pia serikali ina intelejensia kubwa kuliko ww, kama ni feki ama si feki mtajua tu
 
Wezi wa vyeti utawajua tu
 
Unamaanisha amasamehe BASHITE kwa kufoji vyeti??
 
Yaani nashangaa eti Madawa =vyeti vya kufoji; hesabu ya wapi hii??
 
Hata hao waumini hawachoki kusikia tu vyeti muda wote kila wanapoenda/kila wanapokuwa;

-Nyumbani~cheti
-shuleni~cheti
-harusini-cheti
-mtaani~cheti
-facebook~cheti
-instagram~cheti
-JamiiForum~cheti
-
-
-
kanisani(muda wa ibada)~cheti

Sasa kama mpaka kanisani tena masuala ya cheti si bora watu wabaki majumbani waendelee kupiga stori za vyeti?

Uzuri wake alishalizungumzia hivyo angekaa kimya aone kinachoendelea...

Nb;
Binafsi nahuzunishwa na suala la kutokuonesha vyeti ila si kila mahali nitalizungumzia hili.

Tena mpaka sakala hili linaisha inaweza tokea hata ndoa za watu kuvunjika maana unaweza kuta kila mtu badala azungumze masuala yake kulingana na mahali alipo unakuta anakazania Bashite Bashite Bashite....
 
Reactions: Mj1
Sisi wakristo ukiiba ili usamehewe rejesha ulichoiba kwanza kisha msamaha. Alete vyeti kisha asamehewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…