Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,020
- 5,292
Wakuu,
Baada ya kukata misaada ya kifedha na misaada ya silaha Ukraine sasa Trump ameamua kuikatia Ukraine taarifa zote za kijasusi na za kiusalama zinahusiana na vita yao dhidi ya Urusi.
Taarifa hii imetolewa muda mchache uliopita na gazeti la Marekani la Financial Times ikiwa pi ni siku chache tangu ugomvi mkubwa utokee kwenye Ofisi ya Rais wa Marekani kati ya Donald Trump na Zelensky na imethibitishwa na Mkuu wa CIA
Ikumbukwe kwamba tangu vita hii ianze mwaka 2022 Uingereza na Marekani pamoja na washirika wengine kama Australia na New Zealand wamekuwa wakiipa Ukraine msaada wa taarifa zozote za kiusalama pamoja na taarifa muhimu za kijasusi ili Ukraine waweze kupambana na Urusi
Mtaalamu wa masuala ya kijeshi, Phil Ingram, ameieleza Daily Mail kuwa ingawa uamuzi huo haujawashangaza wengi lakini inaonesha ni kiasi gani msimamo wa Marekani umebadilika tangu Zelensky atifuane hadharani na Donald Trump
"Marekani imekataza hadi washirika wake akiwemo Uingereza kuendelea kuipatia taarifa za kiusalama Ukraine," alisema Ingram.
==============================================================
The United States has reportedly banned the United Kingdom from sharing American intelligence data with Ukraine, marking a shift in Western support for Kyiv, Daily Mail reported on March 4.
Since the start of Russia’s full-scale invasion, the UK—along with other key U.S. allies like Australia and New Zealand—has been sharing American intelligence with Ukraine as part of broader Western assistance.
Military intelligence expert Phil Ingram told Daily Mail that while the decision is not entirely surprising, it signals a major policy shift by the U.S.
"The U.S.’s intelligence partners, including Britain, have had their authority to pass on intelligence revoked," Ingram said.
The decision follows the recent U.S. halt on military aid to Ukraine, a move that has raised concerns among Kyiv’s allies.
Despite growing fears of reduced Western backing, U.S. House Speaker Mike Johnson insisted that Washington’s actions are only a “temporary pause.”
Source: Dagens.com
Baada ya kukata misaada ya kifedha na misaada ya silaha Ukraine sasa Trump ameamua kuikatia Ukraine taarifa zote za kijasusi na za kiusalama zinahusiana na vita yao dhidi ya Urusi.
Taarifa hii imetolewa muda mchache uliopita na gazeti la Marekani la Financial Times ikiwa pi ni siku chache tangu ugomvi mkubwa utokee kwenye Ofisi ya Rais wa Marekani kati ya Donald Trump na Zelensky na imethibitishwa na Mkuu wa CIA
Ikumbukwe kwamba tangu vita hii ianze mwaka 2022 Uingereza na Marekani pamoja na washirika wengine kama Australia na New Zealand wamekuwa wakiipa Ukraine msaada wa taarifa zozote za kiusalama pamoja na taarifa muhimu za kijasusi ili Ukraine waweze kupambana na Urusi
Mtaalamu wa masuala ya kijeshi, Phil Ingram, ameieleza Daily Mail kuwa ingawa uamuzi huo haujawashangaza wengi lakini inaonesha ni kiasi gani msimamo wa Marekani umebadilika tangu Zelensky atifuane hadharani na Donald Trump
"Marekani imekataza hadi washirika wake akiwemo Uingereza kuendelea kuipatia taarifa za kiusalama Ukraine," alisema Ingram.
==============================================================
The United States has reportedly banned the United Kingdom from sharing American intelligence data with Ukraine, marking a shift in Western support for Kyiv, Daily Mail reported on March 4.
Intelligence Flow Cut Off
According to the report, UK intelligence agencies and military branches have received explicit orders to stop passing on U.S.-generated intelligence, which was previously labeled Rel UKR (Releasable to Ukraine).Since the start of Russia’s full-scale invasion, the UK—along with other key U.S. allies like Australia and New Zealand—has been sharing American intelligence with Ukraine as part of broader Western assistance.