ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 59,566
- 70,220
Wakati uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Au Chairman Ukiwa umekaribia,joto linazidi kupanda.
Wagombea Wakuu ni Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Djibouti Mahamoud Ali Yousouf na Raila Odinga wa Kenya ambae Aliwahi kuwa Waziri na Kinara wa vurugu za Kila mara za uchaguzi huko Kenya.
Kwa mujibu wa kura za maoni,bwana Mahamoud ana nafasi kubwa ya kumshinda Mzee Raila kinyume kabisa na mbwembwe za hapo swali.
Ikumbukwe Raila ni hasimu wa Kisiasa wa Rais Ruto aliyemtimua Naibu Rais wake na walifukia makubaliano ya kwamba Ruto atampigania Raila awe Mwenyekiti wa AU Ili kumuachia nafasi ya kupumua Kisiasa baada ya Nchi hiyi kukumbwa na maandamano ya mara Kwa mara.
View: https://x.com/zoomafrika1/status/1848711878945427859?t=Cu1xOu5XzvW73LH_j5pvcg&s=19
My Take
Raisla alipigwa chini basi Haki ya Kisiasa ya bwana Ruto itakuwa mbaya sana maana Mzee alimaarufu Baba atarudi Kwa kishindo kupambania nafasi yake ya mwisho Kisiasa.
View: https://youtu.be/S5ALzY0wlfQ?si=h0aMWh2_J_AILG7Y