Kingunge awalipua Kikwete, Mangula na Kinana. Adai hawa ndio wasaliti namba moja wa CCM

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,056
10,721
Katika mahojiano yake na gazeti la MTANZANIA, kada huyu mkongwe wa CCM, amewataja viongozi hao kuwa ndio wasaliti namba moja wa CCM kwa kukiuka na kuvunja kwa makusudi taratibu za Chama katika mchakato wa uchaguzi mwaka 2015.

Pata nakala yako ya leo jumapili kwa mahojiano yote
 
Kingunge bado ni cadre wa CCM?
 
Huyu mzee si alishakimbia chama chetu na kujiunga na Ulipo Tupo? Sasa anaweweseka nini? Mtu ambaye hana hata Mungu ana thamani gani ndani ya CCM?
Mungu wa ccm . Nyie jamaa mlipaswa kuzaliwa karne ya 18
 
Kingunge kasahau kuwa hata Mbowe hakufuata taratibu za Chadema kumteua Lowassa kuwa Mgombea Urais.

CCM ingekiuka taratibu zake kwny Kumteua Lowassa angelalamika?

Fitna, Rushwa na Ushenzi wote waliufanya 1995-2005 kwny Genge Lao kwa Dr. Salim na wengineo haukuwa usaliti dhidi ya Chama?

Kingunge alimshambulia Jakaya kuanzisha Mchakato wa Katiba Mpya bila ya idhini ya Kamati kuu na wakashiriki kuuvuruga sasa hivi wamegeuka watetezi wa Mchakato waliounajisi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…