Kwenye kipande hiki cha video, Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Benson Kigaila, anafichua udhaifu wa chama chake kwa jinsi walivyojaa vitisho visivyo na msingi na msimamo usio thabiti kuhusu chaguzi za Tanzania.
Kigaila anatoa vitisho vya wazi, akisisitiza kwa sauti ya kiburi kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2024 na uchaguzi mkuu wa 2025 hautafanyika, na kwa kiburi anawaagiza waandishi wamnukuu kabisa bila kukosea.
Kwa sasa, dhana ya Chadema kuweza kufosi chochote ni ndoto tu, kama wimbo wa "Dayoo," kwani hali ya kisiasa haiwapi upendeleo. Wakae pembeni na kujipanga upya badala ya kuendelea na porojo zisizo na msingi.
Chadema wanapaswa kukomesha jitihada za kuanzisha migogoro na vurugu zisizo na maana.
Ukweli ni kwamba wanahitaji kukubali kwamba mipango yao ya kujaribu kufosi chaguzi haikufua dafu.
Cha kushangaza na kufedhehesha ni kwamba chadema ambao walijipambanua kama wapinzani wakuu wa mchakato wa uchaguzi, wamekuwa wa kwanza kulalamika na kulialia kuhusu mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Ni wazi kwamba vilio vyao vinaonyesha kukosa kwao mikakati madhubuti—badala yake, waliahidi wafuasi wao kwamba uchaguzi hautakuwepo, na hivyo basi kushindwa kuwashawishi hata wachache kujitokeza kujiandikisha.
Wakati wao wa kulazimisha mambo na kutegemea vitisho vya "hakuna uchaguzi" umepita, na sasa ni bora wakae chini, wajipange upya, na waweke mikakati yao kwa chaguzi za 2029 na 2030