Kinachonishangaza kwa Katibu Mwenezi na Itikadi CCM Makonda ni kuona leo hii akipinga mabaya aliyowahi kuyafanya

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,948
119,236
1. Dharau
2. Uonevu
3. Ubabe
4. Uwizi/ Ufisadi
5. Dhuluma
6. Rushwa
7. Uwongo/ Kudanganya

Haya GENTAMYCINE niwatakieni tu Kila la Kheri wale wote wenye Ubongo mfupi na hafifu wanaomuamini na kumsifu sasa wakati kwa Rekodi zake za kimatukio Kipindi chake yuko Madarakani/ Serikalini angekuwa katika Taifa linalojitambua na kufuata Misingi ya Sheria huenda hivi sasa (Makonda) angekuwa ama Kifungoni Jela / Gerezani au Udongoni/ Mavumbini nikimaanisha ameshanyongwa Kitambo sana na sasa kawa Historia tu.
 
Mimi nakushangaa wewe kumshangaa mwanasiasa..

Ulishaambiwa mwanasiasa akikuambia kumeshakucha, toka nje ukajihakikishie..
 
1. Dharau
2. Uonevu
3. Ubabe
4. Uwizi / Ufisadi
5. Dhuluma
6. Rushwa
7. Uwongo / Kudanganya

Haya GENTAMYCINE niwatakieni tu Kila la Kheri wale wote wenye Ubongo mfupi na hafifu wanaomuamini na kumsifu sasa wakati kwa Rekodi zake za Kimatukio Kipindi chake yuko Madarakani / Serikalini angekuwa katika Taifa linalojitambua na kufuata Misingi ya Sheria huenda hivi sasa ( Makonda ) angekuwa ama Kifungoni Jela / Gerezani au Udongoni / Mavumbini nikimaanisha ameshanyongwa Kitambo sana na sasa kawa Historia tu.
Wivu tu
 
S I A S A

Acha kabisa
Acha kabisa
Wakati naanza form 1, mwalimu wa siasa akauliza, Siasa ni nini?
Bingwa mmoja akasimama kwa kujiamini kabisa na kusema:
SIASA ni uongo uliokomaa.....
Alikula bakora sitasahau...
This is True Story....bila chenga
Yaani namkumbuka yule bingwa mpaka leo.....
 
Waliokua wanaumezea mate uraisi kina
Ngwalangwala
Madelu
Kipara
Rizla
Betina
Jobo nduguyai

Kwakweli hawajapenda.
 
1. Dharau
2. Uonevu
3. Ubabe
4. Uwizi/ Ufisadi
5. Dhuluma
6. Rushwa
7. Uwongo/ Kudanganya

Haya GENTAMYCINE niwatakieni tu Kila la Kheri wale wote wenye Ubongo mfupi na hafifu wanaomuamini na kumsifu sasa wakati kwa Rekodi zake za Kimatukio Kipindi chake yuko Madarakani/ Serikalini angekuwa katika Taifa linalojitambua na kufuata Misingi ya Sheria huenda hivi sasa (Makonda) angekuwa ama Kifungoni Jela / Gerezani au Udongoni/ Mavumbini nikimaanisha ameshanyongwa Kitambo sana na sasa kawa Historia tu.
Ni shetani anyejifanya malaika wa mwanga
 
Hivi ile Travel Ban aliyowahi kuwekewa na Serikali ya Marekani imeshaondolewa?
 
Acha kabisa
Wakati naanza form 1, mwalimu wa siasa akauliza, Siasa ni nini?
Bingwa mmoja akasimama kwa kujiamini kabisa na kusema:
SIASA ni uongo uliokomaa.....
Alikula bakora sitasahau...
This is True Story....bila chenga
Yaani namkumbuka yule bingwa mpaka leo.....
Nachelea kusema tulikuwa darasa moja, maana na mimi ilitokea hivyo hivyo enzi hizo! Na mpaka leo ninaamini hivyo!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
1. Dharau
2. Uonevu
3. Ubabe
4. Uwizi/ Ufisadi
5. Dhuluma
6. Rushwa
7. Uwongo/ Kudanganya

Haya GENTAMYCINE niwatakieni tu Kila la Kheri wale wote wenye Ubongo mfupi na hafifu wanaomuamini na kumsifu sasa wakati kwa Rekodi zake za Kimatukio Kipindi chake yuko Madarakani/ Serikalini angekuwa katika Taifa linalojitambua na kufuata Misingi ya Sheria huenda hivi sasa (Makonda) angekuwa ama Kifungoni Jela / Gerezani au Udongoni/ Mavumbini nikimaanisha ameshanyongwa Kitambo sana na sasa kawa Historia tu.
Ukiona Muafrika bado hajafungiwa wala kuwekewa vikwazo na Mabeberu ujue huyo hayupo upande wetu ukiona Muafrika anasifiwa na Wazungu jua ameshatusaliti hii hasa kwa Wanasiasa.
 
Back
Top Bottom