Dk. Slaa hasingeweza kukubaliana na utoto wa namna hiyo. Wao wakubali kuwa walikurupuka kutoa msimamo usio mantiki. Sio wanachama wote wanaungana na misimamo inayokera kiasi cha kushusha hadhi ya chama pendwaWakuu
Nimekuwa nikifuatilia muenenendo mzima wa siasa nchini na nimebaini kuwa Viongozi wa upinzani wa kipindi hichi hususani CDM ipo haja ya kuwatathini ama wao kujitathimini ni wapi wanapwaya.
Ukiangalia kwa umakini sababu iliyowatoa
bungeni sidhani kama inaeleweka vizuri.
Kwa siku ya Jana tarehe 20/06/2016 nimejaribu
kumsikiliza James Mbatia kwa kina labda ningeweza kubaini sababu hasa inayotufanya kuendelea
kuyafanya haya tunayoyafanya.
Lakini pia najiuliza, hivi viongozi wetu wana "compare" kweli faida
na hasara ya hivyo vitendo vinavyoendelea kwa mustakabadhi wa chama na Taifa kwa Ujumla.
Swali langu ni je hivi Dk Slaa au Zzk wangekuwepo katika uongozi tungelifikia hatua hii?
Wakuu

Hao kwa sasa hawana hoja.....wanafanya siasa maigizo....kama hawataki kuhudhuria vikao vya bunge heri wakae majumbani tutambue wawakilishi wetu hawapo bungeni.....kuliko kila siku kusikia habar za kutoka nje bunge...mara waje mask usoni....sisi watanzani tunazo akili za kutosha tunawasubiria majimboni mje na hizo mask baada ya maendelea na huku tunaona na tunasikia kinachoendelea huko

mbatia kahamia lini CHADEMA halafu mbona zzk ndo yupo mstari wa mbele kupambana na ubakaji hu wa demokrasia au maharage ulokula jana yamepanda kichwani au umekosa cha kuandika ukaona uharishe tu
Pale unapoona mwana ccm anammiss mpinzani wake dr slaa....haiingii akilini kabisa.Kwa nini usingetumia muda wako kujadili bajeti iliyopitishwa na wabunge wote majuzi ili kuona matarajio ya wananchi yatafikiwa ama vipi? Kumjadili Dr Slaa anayekula bata ughaibuni kutasaidia kweli kupunguza bei ya sukari mkuu??
Wanacholipwa ni kodi yangu mimi na wewe. Walipokuja kuomba kura hawakutuambia chochote kuhusiana na kumsusia Dr Tulia ukumbi wa bunge.Mtabwabwaja hapa mwisho wa siku mtalala wachumia tumbo nyie. Wapinzani wakitoka inakuhusu nini
Tume ya uchaguzi ilione hili, majimbo ya waliogoma yapigwe mnada wa kisiasa na yawe declared kuwa wazi.Wakuu
Nimekuwa nikifuatilia muenenendo mzima wa siasa nchini na nimebaini kuwa Viongozi wa upinzani wa kipindi hichi hususani CHADEMA, ipo haja ya kuwatathmini ama wao kujitathmini ni wapi wanapwaya.
Ukiangalia kwa umakini sababu iliyowatoa bungeni sidhani kama inaeleweka vizuri.
Kwa siku ya Jana tarehe 20/06/2016 nimejaribu kumsikiliza James Mbatia kwa kina labda ningeweza kubaini sababu hasa inayotufanya kuendelea kuyafanya haya tunayoyafanya.
Lakini pia najiuliza, hivi viongozi wetu wana "compare" kweli faida
na hasara ya hivyo vitendo vinavyoendelea kwa mustakabadhi wa chama na Taifa kwa Ujumla.
Swali langu ni je hivi Dk. Slaa au ZZK wangekuwepo katika uongozi tungelifikia hatua hii?
Mkuu unamaanisha UKAWA walipotoka bungeni Zitto(MB) aliendelea kubaki bungeni?Wakuu
Nimekuwa nikifuatilia muenenendo mzima wa siasa nchini na nimebaini kuwa Viongozi wa upinzani wa kipindi hichi hususani CHADEMA, ipo haja ya kuwatathmini ama wao kujitathmini ni wapi wanapwaya.
Ukiangalia kwa umakini sababu iliyowatoa bungeni sidhani kama inaeleweka vizuri.
Kwa siku ya Jana tarehe 20/06/2016 nimejaribu kumsikiliza James Mbatia kwa kina labda ningeweza kubaini sababu hasa inayotufanya kuendelea kuyafanya haya tunayoyafanya.
Lakini pia najiuliza, hivi viongozi wetu wana "compare" kweli faida
na hasara ya hivyo vitendo vinavyoendelea kwa mustakabadhi wa chama na Taifa kwa Ujumla.
Swali langu ni je hivi Dk. Slaa au ZZK wangekuwepo katika uongozi tungelifikia hatua hii?
Mfuate slaa yupo anakula mihogo huko canada na mfuate zzk pale kijitonyamaWakuu
Nimekuwa nikifuatilia muenenendo mzima wa siasa nchini na nimebaini kuwa Viongozi wa upinzani wa kipindi hichi hususani CHADEMA, ipo haja ya kuwatathmini ama wao kujitathmini ni wapi wanapwaya.
Ukiangalia kwa umakini sababu iliyowatoa bungeni sidhani kama inaeleweka vizuri.
Kwa siku ya Jana tarehe 20/06/2016 nimejaribu kumsikiliza James Mbatia kwa kina labda ningeweza kubaini sababu hasa inayotufanya kuendelea kuyafanya haya tunayoyafanya.
Lakini pia najiuliza, hivi viongozi wetu wana "compare" kweli faida
na hasara ya hivyo vitendo vinavyoendelea kwa mustakabadhi wa chama na Taifa kwa Ujumla.
Swali langu ni je hivi Dk. Slaa au ZZK wangekuwepo katika uongozi tungelifikia hatua hii?
Hoja kwako ni kuunga hoja mkono kwa 100%? Mtaisoma namba nyinyi magambaHao kwa sasa hawana hoja.....wanafanya siasa maigizo....kama hawataki kuhudhuria vikao vya bunge heri wakae majumbani tutambue wawakilishi wetu hawapo bungeni.....kuliko kila siku kusikia habar za kutoka nje bunge...mara waje mask usoni....sisi watanzani tunazo akili za kutosha tunawasubiria majimboni mje na hizo mask baada ya maendelea na huku tunaona na tunasikia kinachoendelea huko