Kinachoendelea sasa hivi Mashariki ya Kati ni Mapenzi ya Iran

Pearce

JF-Expert Member
Dec 15, 2018
661
1,573
Nimepata kupitia speech ya rais mpya wa Iran, wakati nikiendelea kumfuatilia hapo awali alikuwa nani na alitokea wapi.

Nilichogundua anajitahidi sana katika maelezo yake kujitofautisha na serikali ya awali ya Hayati Raisi aliekuwa mfuasi kindakindaki wa Hayatollah na mapinduzi. Anajaribu kujibainisha yeye ni moderate.

Kuna matatu
1. Moja ni kaona uhalisia anaogopa na yeye ataliwa kichwa, kagundua vita hataimudu na watoto wa Yakobo. Kiasi kwamba anajitofautisha na maamuzi ya Raisi kupeleka siraha zitumiwe na Urusi dhidi ya Ukraine.

2. Ana buy time ili project ya Nukes ikamilike sababu washafahamu kwasasa project ipo very vulnerable, na alijifunza kupitia kwa Mrusi, kuwa na Nukes ni kuwa na status ya kuheshimiwa kama Supa pawa.

3.Khomeni ameogopa hivyo amemtuma azungumze anayoyazungumza, baada ya kupokea misiba ya kutosha ya watu wake wakaribu Middle east kote. Yaani kila wiki yeye ni kupokea taarifa hizo na kagundua intellejensia ya adui yake ni kubwa ipo mpaka ikulu kwake.

Soma Pia: Marekani imezieleza Iran na Israel kwamba migogoro ya Mashariki ya Kati haipaswi kuongezeka

All in all muda unakwenda lakini mpaka sasa Hofu ni kubwa muirani, wapo wapi proxy wa iran?. Myahudi anaivamia lebanon na inasemekana Kiongozi mkuu wa Hezbollah kaliwa kichwa kabla hazijadhibitishwa taarifa mpaka sasa, baada ya shambulizi la Beirut la leo.
 
Lila na fila havichangamani
FB_IMG_17261688337024629.jpg
 
Back
Top Bottom