johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 95,576
- 167,534
Ikumbukwe 2015 watu Wajanja waliitumia Chadema kama ngazi ya kuwafikisha bungeni na walipofanikiwa wakahama na ubunge akina Dr Mollel nk
2020 ndio yale ya COVID 19 waliokosa uzalendo na kusaliti Chama mchana kweupe
Nadhani zamu vibaraka wakisaidiwa na Lucas Mwashambwa na dada yake Chiembe wameshaonekana hivyo 2025 wasipewe Fomu za ubunge wala Udiwani
Hakunaga haja ya kuwataka kwani wameshajianika wote
Jumaa Karim 😄