Kimeumana! Wanawake Wachachamaa - Malumbano Makali ya Hoja

Setfree

JF-Expert Member
Dec 25, 2024
2,338
3,052
Malumbano makali ya hoja kati ya mwanamke na mwanaume:

MWANAMKE:
Wanaume, acheni tusherehekee. Eti mnasema leo tumevaa mavazi yasiyo na staha? Wanawake wenzangu, huu ni wakati wa kusimama na kutetea haki zetu wanawake! Tunayo haki ya kuji-express. Mavazi ni sehemu ya uhuru wa kujieleza, na hakuna mtu anayepaswa kutufungia katika sheria zilizopitwa na wakati. Mnatunyanyasa! Kila mara wanaume mnapiga kelele kutuambia cha kuvaa na cha kutovaa. Mbona nyie pia mna mavazi yasiyo na staha? Jikemeeni kwanza!

Ni upotoshaji, kusema eti mavazi yetu yanasababisha mmomonyoko wa maadili na unyanyasaji wa kijinsia. Tatizo haliko kwenye mavazi yetu, bali kwenye mawazo yenu machafu na baadhi yenu wanaume msioweza kuzuia tamaa zenu. Tusilaumiwe kwa makosa yenu!

Tuacheni, tunaenda na wakati. Dunia inapendeza sasa, na mavazi ni sehemu ya maendeleo. Tunavaa mitindo ya kisasa. Hii ni njia ya kuonyesha utu wetu na kujiamini. Kwanini nyie wanaume mnahangaika mno na mavazi yetu? Pilipili usoila inakuwashia nini?

Je, ni haki kweli kumhukumu mwanamke kwa sababu tu ya mavazi yake? Thamani ya mwanamke haipaswi kupimwa kwa sketi yake au kwa suruali yake, bali kwa akili yake, uwezo wake, na mchango wake kwa jamii. Naomba mtuheshimu na muache tuwe huru! Leo ni siku yetu ya kusherehekea. Kwanini mnatukosesha raha?

MWANAUME:
Acha kubwabwaja! Ngoja leo niwapashe bila kupepesa macho! Mmevuka mipaka. Mavazi yasiyo na staha yanawaondolea heshima wanawake. Huwezi kudai heshima wakati hujiheshimu mwenyewe. Ona mlivyovaa vimini, halafu mnacheza ngoma za kuinama na kuinuka!

Ngoja nikupe siri. Mavazi yasiyo na staha yanawaathiri sana wanaume. Wanaume ni kama nyuki. Wakiona mwanamke aliyevaa sketi fupi, au suruali ya kubana na blauzi inayoonesha mapapai, wanakuwa kama wameona maua. Wanavutwa wapate asali. Ndio sababu mnabakwa!

Mnapaswa kuelewa tofauti kati ya uhuru na maadili. Mnapaswa kujisitiri! Kujisitiri sio kifungo, bali ni njia ya kujipatia heshima na hadhi.

Eti mnadai kila mtu yuko huru. Uhuru wa mtu binafsi usilete madhara kwa jamii. Kuvaa mnavyotaka sio uhuru wa kweli, ni kujishushia tu hadhi. Mavazi ya mwanamke yanaamua thamani yake katika macho ya jamii. Kwa sababu hiyo usikasirike jamii ikikuita kahaba au malaya!

Eti mnaenda na wakati kwa mitindo ya kisasa! Mnatufanya tushawishike kuingia kwenye uasherati na uzinzi. Siku ya hukumu mtafurahi tukitupwa motoni?

Kwanini mnakubali ushawishi wa mitandaoni? Wanawake wanaowaringishia picha za mavazi yasiyo na staha - Instagram na TikTok, wana malengo yao potofu. Wengine lengo lao ni kuwavuta wanaume ili wawauzie UKIMWI na magonjwa ya zinaa. Msiige jambo bila kujua chanzo chake.

Mungu aliyetuumba anajua athari ya mavazi yasiyo na staha. Ndiyo sababu ameagiza:
"...wanawake wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na heshima na kiasi..." (1Timotheo 2:9).

Endeleeni na sherehe, lakini “message delivered
============================
Je, wewe uko upande gani katika malumbano hayo? Toa hoja zako!
 
Mavazi yasiyo na staha.jpg

Kama huu ndio uhuru wanaoutaka wanawake, siwaungi mkono kamwe. Huu sio uhuru ni uharo.
Kama unavaa hivi hadharani, nakuambia unapita njia pana iendayo upotevuni(Mt 7:13). Geuka upesi.
Warumi 12:2 BHN
"Msiige mitindo ya ulimwengu huu, bali Mungu afanye mabadiliko ndani yenu kwa kuzigeuza fikira zenu. Hapo ndipo mtakapoweza kuyajua mapenzi ya Mungu na kutambua jambo lililo jema, linalompendeza na kamilifu."
 
Hey kwa niaba ya wanaume wote

"Vaeni mnavyotaka nani anataka kuhangaisha akili na upuuzi ila msilalamike na kuanza kuita wanaume mbwa time will tell
Unavyofika 35 huna mume na usingle mom juu"

Maneno ya mlevi mmoja.
 
Mavazi yasiyo na staha2.jpg

Dress how you want to be addressed.
Ukitaka kuitwa kahaba, vaa kama hao.
 
View attachment 3263654
Kama huu ndio uhuru wanaoutaka wanawake, siwaungi mkono kamwe. Huu sio uhuru ni uharo.
Kama unavaa hivi hadharani, nakuambia unapita njia pana iendayo upotevuni(Mt 7:13). Geuka upesi.
Warumi 12:2 BHN
"Msiige mitindo ya ulimwengu huu, bali Mungu afanye mabadiliko ndani yenu kwa kuzigeuza fikira zenu. Hapo ndipo mtakapoweza kuyajua mapenzi ya Mungu na kutambua jambo lililo jema, linalompendeza na kamilifu."
Mavazi Si Asili Yetu,,,Uchi Ndio Asili Yetu Na Ndio Maana Tunazaliwa Uchi Na Hata Kuzikwa Asilimia Kubwa Wamezikwa,,Watazikwa Uchi,, Kukaa Uchi Au Kuonyesha Uchi Si Dhambi,,Kutenda Asili Si Dhambi,,Wewe Mwenyewe Kuna Wakati Inakubidi Uwe Uchi Iwe Hadharani Au Mafichoni ,,Katika Maisha Yetu Mda Wa Kuwa Uchi Ni Mkubwa Kuliko Mda Wa Kujistiri Na Pamba....!!!
 
Ngoja, ntakurudia...
 
Hata anayezaliwa anavalishwa nepi, sembuse mtu mzima.

Maandiko yanasema kwamba baada ya dhambi kuingia ulimwenguni, Adamu na Hawa waliona aibu wakajisitiri (Mwanzo 3:7). Na Mungu akawafanyia mavazi kuficha aibu yao

Hata wanaozikwa wanavalishwa sanda, sembuse walio hai.

Tembea uchi barabarani uonyeshe mavazi sio asili yetu, uone jinsi utakavyobebwa juu juu kupimwa afya ya akili.
 
Sasa Hao Unawasema Wako Uchi Mbona Hawabebwi Na Kupimwa Afya Ya Akili
 
Malumbano makali ya hoja kati ya mwanamke na mwanaume:

MWANAMKE:
Wanaume, acheni tusherehekee. Eti mnasema leo tumevaa mavazi yasiyo na staha? Wanawake wenzangu, huu ni wakati wa kusimama na kutetea haki zetu wanawake! Tunayo haki ya kuji-express. Mavazi ni sehemu ya uhuru wa kujieleza, na hakuna mtu anayepaswa kutufungia katika sheria zilizopitwa na wakati. Mnatunyanyasa! Kila mara wanaume mnapiga kelele kutuambia cha kuvaa na cha kutovaa. Mbona nyie pia mna mavazi yasiyo na staha? Jikemeeni kwanza!

Ni upotoshaji, kusema eti mavazi yetu yanasababisha mmomonyoko wa maadili na unyanyasaji wa kijinsia. Tatizo haliko kwenye mavazi yetu, bali kwenye mawazo yenu machafu na baadhi yenu wanaume msioweza kuzuia tamaa zenu. Tusilaumiwe kwa makosa yenu!

Tuacheni, tunaenda na wakati. Dunia inapendeza sasa, na mavazi ni sehemu ya maendeleo. Tunavaa mitindo ya kisasa. Hii ni njia ya kuonyesha utu wetu na kujiamini. Kwanini nyie wanaume mnahangaika mno na mavazi yetu? Pilipili usoila inakuwashia nini?

Je, ni haki kweli kumhukumu mwanamke kwa sababu tu ya mavazi yake? Thamani ya mwanamke haipaswi kupimwa kwa sketi yake au kwa suruali yake, bali kwa akili yake, uwezo wake, na mchango wake kwa jamii. Naomba mtuheshimu na muache tuwe huru! Leo ni siku yetu ya kusherehekea. Kwanini mnatukosesha raha?

MWANAUME:
Acha kubwabwaja! Ngoja leo niwapashe bila kupepesa macho! Mmevuka mipaka. Mavazi yasiyo na staha yanawaondolea heshima wanawake. Huwezi kudai heshima wakati hujiheshimu mwenyewe. Ona mlivyovaa vimini, halafu mnacheza ngoma za kuinama na kuinuka!

Ngoja nikupe siri. Mavazi yasiyo na staha yanawaathiri sana wanaume. Wanaume ni kama nyuki. Wakiona mwanamke aliyevaa sketi fupi, au suruali ya kubana na blauzi inayoonesha mapapai, wanakuwa kama wameona maua. Wanavutwa wapate asali. Ndio sababu mnabakwa!

Mnapaswa kuelewa tofauti kati ya uhuru na maadili. Mnapaswa kujisitiri! Kujisitiri sio kifungo, bali ni njia ya kujipatia heshima na hadhi.

Eti mnadai kila mtu yuko huru. Uhuru wa mtu binafsi usilete madhara kwa jamii. Kuvaa mnavyotaka sio uhuru wa kweli, ni kujishushia tu hadhi. Mavazi ya mwanamke yanaamua thamani yake katika macho ya jamii. Kwa sababu hiyo usikasirike jamii ikikuita kahaba au malaya!

Eti mnaenda na wakati kwa mitindo ya kisasa! Mnatufanya tushawishike kuingia kwenye uasherati na uzinzi. Siku ya hukumu mtafurahi tukitupwa motoni?

Kwanini mnakubali ushawishi wa mitandaoni? Wanawake wanaowaringishia picha za mavazi yasiyo na staha - Instagram na TikTok, wana malengo yao potofu. Wengine lengo lao ni kuwavuta wanaume ili wawauzie UKIMWI na magonjwa ya zinaa. Msiige jambo bila kujua chanzo chake.

Mungu aliyetuumba anajua athari ya mavazi yasiyo na staha. Ndiyo sababu ameagiza:
"...wanawake wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na heshima na kiasi..." (1Timotheo 2:9).

Endeleeni na sherehe, lakini “message delivered
============================
Je, wewe uko upande gani katika malumbano hayo? Toa hoja zako!
1741447984150.png
 
Huwa nina mashaka sana na akili zenu nyie wadada mnaojidai mnampenda yesu we kutwa nzima si huwa unaleta mijadala ya kumpenda yesu humu ndani? Sahivi unashangilia kuvaa nusu uchi ndo maelekezo ya yesu wenu hayo?
 
Back
Top Bottom