KIMARA shida ya Maji

BABA E's

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
354
135
Nasikitika kusema wakazi wa Kimara hatujapata maji kwa muda mrefu. Leo yametoka kwa nusu saa tu.

Tatizo langu ni kwanini hakuna taarifa zozote kuhusiana na hili.

Hiyo nusu saa ni majaribio au!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…