ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 512
- 1,128
Kilio chetu kwa serikali yetu sikivu yenye kupenda maendeleo hapa kwetu geita miaka kadhaa iliyopita kulikuwa kuna ujenzi tulioambiwa ni WA chuo cha veta ambao ulikuwa ukiendelea ulikuja kusimama mpk sasa ni muda sana majengo yanabaki magofu pesa za serikali zishatumika mpk pale ilipo fika tunaomba serikali ipigie jicho Ione inasaidiaje maana tumejenga madarasa vijana wanaenda shule wakimaliza iki chuo kingesaidia sana Jana nimeenda kuona pale inasikitisha ni ndege tu wanalia uzio wa mabati ushaanguka .juzi nimesikia mh waziri akisema kuna pesa zimetengwa kwa ajili ya veta tunaomba geita veta iwe mojawapo