Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 379
- 466
Waswahili wanausemi unaosema Mungu anashani yake na wakasema tena kelele za chura hazizuhii tembo kunywa maji.
Nafkiri hakuna mtanzania asiyejua habari iliyovuma kitambo ya kichwa cha mwendazimu lakini hata kuyumba kwa tasnia za habari na sanaa uimara wake uliopo sasa wa sekta hizo nikiashirio cha hatua kubwa katika mafanikio ya wizara husika.
Hakuna asiyejua mafanikio ya klabu za mpira ktk soka la Afrika hakuna asiyejua Taifa stars rekodi iliyovunja hakuna asiyejua sanaa ilipokuwa inakaribia kukata roho na ghafla kurudi kuwa kileleni kupelekea kuzipiku tamthilia za nje hakuna asiyejua mafanikio ya Mwakyembe kama waziri wa habari sanaa na michezo.
Mwisho niwakati sasa kukubali kupongeza mambo mazuri yanapofanyika.lakini pia kuna swali najiuliza makelele ya nape nnauye na nongwa zake kila siku mitandaoni ingeweza kutupa mafanikio haya?