Kilimo gani naweza kufanya kwa mtaji wa 200,000?

drue

New Member
Jun 29, 2024
1
0
Nina mtaji wa shilingi laki mbili lakini nimeona biashara itakayoniingizia hela nzuri na kuchukua muda wangu kiasi nikiwa najipanga ni kilimo. Je kilimo gani ni kizuri hata nikiwa na heka moja naweza fanya na nikapata faida?
 
Kwa heka umedanganya mkuu Hela haitoshi kama nikweli una 200k tu

Nikushauri Lima matango nusu heka hapo shamba liwe lako sio la kukokodi gram50 za mbegu zitatosha Lima pvc Holland ndo mbegu nzuri kulingnana na Hela Yako itakayo Baki nunua kg25 dap kg25 Can na madawa nadni ya siku 45 unaanza kuvuna.

Kiralala kheri
Hongera Kuna kitu ndani Yako.
Samahani vp kuhusu zao la pilipili kichaa una ideas zake, nisaidie
 
Nina mtaji wa shilingi laki mbili lakini nimeona biashara itakayoniingizia hela nzuri na kuchukua muda wangu kiasi nikiwa najipanga ni kilimo. Je kilimo gani ni kizuri hata nikiwa na heka moja naweza fanya na nikapata faida?
Lima mboga mboga ( mchicha lishe ndani ya siku 21 unavuna, majani ya maboga ndani ya siku 18 unavuna , tembele , chinese , figiri nk.Zinalipa.
 
Back
Top Bottom