Kilimo cha miti ya mbao au kilimo cha mikorosho

Kwa ushauri wangu naona Mikorosho ni bora zaidi kwani faida ni mara mbili hapo

Kwanza unapanda miche na kuachanisha sehemu kubwa na kinachofuata unaweza hata kulima mazao mengine hapo ila kuongeza kipato
Korosho mda wake ni miaka mitatu unaanza kuvuna matunda kwa juice na mbegu kwa biashara

Hapo utavuna kila mwaka na kuongezeka mavuno kwa kilo

Kuhusu mbao utasubiri mda mrefu
 
Korosho ni kama unalima maeneo haya, kama sio usijaribu..

Tandahimba, Newala, Masasi, Nanyumbu, Mtwara DC, Nanyamba, Nachingwea, Lindi DC, Ruangwa, Liwale, Tunduru..
 
Kuna miradi mikubwa imeanza singida na Isimani Iringa inafanya vuzuri sana
 
Naomba ushauri ni kilimo kipi cha nazina ya baadae ni bora zaidi au kuwa na manufaa zaidi kati ya miti ya mbao dhidi ya mikorosho?

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
yaani umeshindwa kushughulisha ubongo wako ukajua kuwa miti ikishakomaa baada ya miaka saba na kuendelea ukishakata ndiyo mwisho wake na korosho unaendelea kuitunza na kuvuna tu mpaka utakufa, kiasi unataka ushauri?....acha uvivu wa kufikiri
 
Ninachokiona ni ukosefu wa exposure na miluzi mingi!!
 
yaani umeshindwa kushughulisha ubongo wako ukajua kuwa miti ikishakomaa baada ya miaka saba na kuendelea ukishakata ndiyo mwisho wake na korosho unaendelea kuitunza na kuvuna tu mpaka utakufa, kiasi unataka ushauri?....acha uvivu wa kufikiri
Ahsante kaka?

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Mbao saivi mti wa miaka kumi unauzwa buku mpaka buku mbili.
Sasa kama mti hauna thamani si bora wachome mkaa wasafirishe mikoani, maana bei ya mkaa wa miti hiyo mepesi ni kati ya sh elf 20 mpaka 30 kwa gunia kuliko kuuza mti mmoja buku ( mara mbili ya bei ya miche 🤣🤣!!)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom