By the way barafu unaona hapo ni temporary tuu.kesho ukipiga utakuta hazipoWanasayansi wameongelea kitu ambacho kitakuja kutokea miaka 50 ijayo, wewe unakuja na picha yako uliyopiga leo kuwa debunk
Kwa walio Rombo kipindi Cha mvua hata Mawenzi peak inakuwa na barafu, Hivyo hakuna kigeni hapo!!Wanasayansi wameongelea kitu ambacho kitakuja kutokea miaka 50 ijayo, wewe unakuja na picha yako uliyopiga leo kuwa debunk
Mkuu picha ya tatu toka juu inaonyesha vizuri.Sasa wewe umepiga wingu picha ndilo unaliita barafu?
Piga picha mlima wakati hakuna wingu ndio tuuone vizuri.
Tupatie kama hizi zilizopigwa 2022
Accumen Mo check hizo picha. Yani ukijaaanii. Chezea uchagani wewee.Tofauti na wanasayansi wanavyotabiri barafu Inaendelea kuwa nyingi Kwenye mlima Kilimanjaro
View attachment 2419409View attachment 2419424View attachment 2419426View attachment 2419427
Ilikuwa hivi...Tupatie kama hizi zilizopigwa 2022
Ilikuwa hivi...
View attachment 2419852
Ikifatia hivi...
View attachment 2419853
Na sasa iko hivi.....
Inawezekana na mapendekezo waliyotoa yamefanyiwa kazi kiasi, ndio maana unaona hali inakuwa nzuri. Au unahisi hawatakiwi kujihusisha waangalie tu, miti ilivyokuwa inakatwa?Wanasayansi wenyewe kazi yao kufanya prediction tu.
Hamna lolote