Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
Habari zenu,
Kumekuwa na sitofahamu baadhi ya mashabiki wa Tanzania wanajiuliza imekuwaje simba kuingia African footbal league wakati simba ipo nafasi ya 9 Africa kwa club Bora(sio club kubwa ni club bora nieleweke hapo msichanganye bora na ukubwa).
Katika CAF FOOTBALL CLUBS RANKING simba ipo nafasi ya 9.
I. AL AHLY SC(EGYPT)
2. WYDAD AC(MOROCCO)
3. ESPERANCE DE(TUNIS)
4. MAMELOD SUNDOWN FC(S.A)
5. ZAMELEK SC(EGYPT)
6. RAJA CA(MOROCCO)
7. PYRAMIDS FC(EGYPT)
8. CR BELOUIZDAD(ALGERIA)
9. SIMBA SC(TANZANIA).
sasa twende kazi,ukiangalia kwenye list hiyo hapo juu utagundua kuna nchi ina timu 3 na nyingine ina timu 2,ambayo ni
.EGYPT
.MOROCCO
NA A.F.l wanataka timu 1 kwa kila nchi na ukanda kwa akili za kawaida ambazo hazihitaji hata kwenda shule
.EGYPT watakuwa na mwakilishi ambaye anaongoza kwa kila kitu africa AL AHLY SC kigezo kilichotumika kuichikua AL AHLY SC ni ukubwa wa club pia point ambazo zinafanya iwe juu ya ZAMALEK NA PYRAMIDS.
.MOROCCO kwenye CAF club ranking ina timu 2 ambazo zinapoint nyingi,ambazo ni WYDAD na RAJA.
WYDAD inahiacha RAJA mbali sana kwa ukubwa pia kwa point basi wakaichukua WYDAD CLUB.
..Kwa kigezo cha kuchukua timu moja kwa kila nchi na kila ukanda mpaka hapo kuna timu 3 zimeachwa ambazo ni.
-ZAMALEK Kwenye CAf ranking inashika nafasi ya 5.
-RAJA kwenye CAF ranking inashika nafasi ya 6.
-PYRAMIDS kwenye CAF ranking inashika nafasi ya 7.
Kigezo kingine walichoangalia A.F.L hali ya utulivu kwa kila nchi iliyochaguliwa baada ya kuchungulia ALGERIA wa kaona kuna vita ambaye mwakilishi wake ni CR BELOUIZDAD I nayoshika nafasi ya 8 katika CAF Club ranking.
Note(pia ukanda umechangia,kila ukanda unatakiwa utoe timu moja)
Mpaka hapo kuna timu zimetoka kwa kigezo cha timu moja kwa kila nchi na kigezo kingine vita.
Kwenye list yetu tumebaki na hizi timu.
1.AL AHLY SC(EGYPT)
2.WYDAD AC(MOROCCO)
3.ESPERANCE DE (TUNIS).
4.MAMELOD SUNDOWN (S.A)
9.SIMBA SC(TANZANIA).
KWA kuwa zilhitajika timu 8 kwenye mashindano ya A.F.L basi wakatazama timu nyingine kwenye CAF CLUB RANKING zenye historia kubwa Africa na zilizofanyaga makubwa sana.
Ndio wakazichukua hizi timu.
Wakachukua hizi timu kuangalia ukanda wanakotoka.
10.TP MAZEMBE(CONGO)
13.PETRO DE LUANDA(ANGOLA)
31.ENYIMBA(NIGERIA).
Pia vigezo hivi vimeifanya SIMBA SC KUINGIA A.F.L.
1. CAF CLUB RANKING
2.FUN BASE
angalizo mimi ni mashabiki wa YANGA SC ila sipend watu wanabishana na ukweli kuwa SIMBA Imefanya makubwa kwenye hii miaka 5 na ndicho kilichopelekea SIMBA kuingia A.F.L,tuwape maua yao.
Baada ya YANGA kufika final za confederation imepata point 20 na kuzipiku timu nyingi Africa na kushika nafasi ya 18 Africa.
Mpaka hapo inaonyesha juhudi walizonazo YANGA ni hatari na zinaogopesha.
Mashabiki tuache ubishani wakijinga.