Kilicho dhahiri shahiri CHADEMA ni kwamba, makamu mwenyekiti taifa anamuogopa mno mwenyekiti taifa

Tlaatlaah

JF-Expert Member
May 18, 2023
19,855
21,852
ni zaidi ya mara moja sasa huyu muungwana analalamikia nje ya reli kutuhumu chama chake mwenye kwa rushwa. na safari hii ameenda mbali zaidi na kutishia kukihama chama hicho. sasa sijui anamtisha nani pale chadema..
na mara zote amepuuzwa na viongozi waandamizi wenzake dhidi ya aina yake ya uwasilishaji malalamiko....

nadhani tegemeo lake kubwa sana ni huruma za wanachama nje ya uongozi kumuunga mkono, ndio maana mara zote akibaini dosari au kasoro ndani ya uongozi wa chadema anakuja kuripoti moja kwa moja kwa wanachama na wananchi, kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii..

hivi sasa,
ana kila dalili za kukata tamaa. maana style yake hiyo ya kulalamikia uongozi ambao yeye ni sehemu yake, imekua ikipuuzwa na kutokutiliwa maanani na viongozi waandamizi wenzake chamani, kwasabb nadhani sio utaratibu wao wa kushughulika na changamoto za ndani ya chama chao...

ni dhahiri hana imani kabisa na yeyote ndani ya chama chake miongni mwa viongozi wenzake, amejawa hofu na woga, hajiamini tena na hana ujasiri kabisa wa hata kumwendea mwenyekiti au katibu wake kumdokezea, kumnong'oneza au kumjulisha na pengine kumshauri kuitisha vikao vya ndani vya kawaida kwa majadiliano na hatua zaidi za kuchukua dhidi ya jambo fulani ambalo sio zuri, ili kurekebisha image na Imani ya chama chao mbele ya umma..

kumuogopa mwenyekiti wake kumemfanya aonekane bayana anajiandaa kujitenga na chama hicho. taharuki, ukosefu wa utulivu, ustahimilivu na subra dhidi ya chochote asichopenda kukiskia au kukiona ndani ya chama chake, kuna dhihirisha maandalizi ya kukihama chama hicho, lakini pia kuwavutia vyama vingine vya kisiasa kumpatia usaji na nafasi...

kama ilivyo kwa mtengeneza njia wake msigwa, tuhuma na malalamiko yao yanafanana na yanaelekezwa kwa mtu moja tu, ambae wote kwa pamoja walimuogopa sana na mpaka wa leo wanamuogopa mno..
'chairman'

mpendwa kiongozi,
uoga wako ndio umaskini wako. utaomba hisani, kuonewa huruma na kusaidiwa mpaka lini? jifunze kujitegemea tafadhali.

na kama kweli wewe ni msomi mbobevu wa sheria, uongozi na siasa; na mwenye ushawishi na wafuasi wengi nchini ; na mwenye sifa na vigezo stahiki vya uongozi vya kikatiba unaogopa nini kusema na kutenda? 🐒

kuchochea migawanyiko na mpasuko ndani ya chama chako, kuna dhoofisha imani ya wafuasi wako dhidi ya uwezo wako wa uongozi.forget about presidential candidature through your party come 2025🐒

Mungu Ibariki Tanzania..
 
Hakumogopa JPM amuogope Mbowe?
Kila siku anamsema Mama Abdul halafu amuogope Mbowe?
 
Atakuwa anamuheshimu sio kumuogopa, kumbuka ni Mbowe ndio aliongoza wenzake ndani ya chama kunusuru maisha ya Lissu baada ya kupigwa risasi.
nidhamu ya uoga, right?🐒

sasa nani atashughulika na malalamiko yake, ACT wazalendo, right?🐒
 
ni zaidi ya mara moja sasa huyu muungwana analalamikia nje ya reli kutuhumu chama chake mwenye kwa rushwa. na safari hii ameenda mbali zaidi na kutishia kukihama chama hicho. sasa sijui anamtisha nani pale chadema..
na mara zote amepuuzwa na viongozi waandamizi wenzake dhidi ya aina yake ya uwasilishaji malalamiko....

nadhani tegemeo lake kubwa sana ni huruma za wanachama nje ya uongozi kumuunga mkono, ndio maana mara zote akibaini dosari au kasoro ndani ya uongozi wa chadema anakuja kuripoti moja kwa moja kwa wanachama na wananchi, kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii..

hivi sasa,
ana kila dalili za kukata tamaa. maana style yake hiyo ya kulalamikia uongozi ambao yeye ni sehemu yake, imekua ikipuuzwa na kutokutiliwa maanani na viongozi waandamizi wenzake chamani, kwasabb nadhani sio utaratibu wao wa kushughulika na changamoto za ndani ya chama chao...

ni dhahiri hana imani kabisa na yeyote ndani ya chama chake miongni mwa viongozi wenzake, amejawa hofu na woga, hajiamini tena na hana ujasiri kabisa wa hata kumwendea mwenyekiti au katibu wake kumdokezea, kumnong'oneza au kumjulisha na pengine kumshauri kuitisha vikao vya ndani vya kawaida kwa majadiliano na hatua zaidi za kuchukua dhidi ya jambo fulani ambalo sio zuri, ili kurekebisha image na Imani ya chama chao mbele ya umma..

kumuogopa mwenyekiti wake kumemfanya aonekane bayana anajiandaa kujitenga na chama hicho. taharuki, ukosefu wa utulivu, ustahimilivu na subra dhidi ya chochote asichopenda kukiskia au kukiona ndani ya chama chake, kuna dhihirisha maandalizi ya kukihama chama hicho, lakini pia kuwavutia vyama vingine vya kisiasa kumpatia usaji na nafasi...

kama ilivyo kwa mtengeneza njia wake msigwa, tuhuma na malalamiko yao yanafanana na yanaelekezwa kwa mtu moja tu, ambae wote kwa pamoja walimuogopa sana na mpaka wa leo wanamuogopa mno..
'chairman'

mpendwa kiongozi,
uoga wako ndio umaskini wako. utaomba hisani, kuonewa huruma na kusaidiwa mpaka lini? jifunze kujitegemea tafadhali.

na kama kweli wewe ni msomi mbobevu wa sheria, uongozi na siasa; na mwenye ushawishi na wafuasi wengi nchini ; na mwenye sifa na vigezo stahiki vya uongozi vya kikatiba unaogopa nini kusema na kutenda? 🐒

kuchochea migawanyiko na mpasuko ndani ya chama chako, kuna dhoofisha imani ya wafuasi wako dhidi ya uwezo wako wa uongozi.forget about presidential candidature through your party come 2025🐒

Mungu Ibariki Tanzania..
Hangaika na ya chama chako,chawengine waachie wenyewe.
 
mbobevu nahangaika na kudeal na kote panapofuka moshi bila mbambamba ya mtu yoyote 🐒
Sasa hapo kwenu mnasema kidumu ila hamfahamu kama kinavuja,bora panapo fuka moshi moto utawaka ila pamapovuja moto hauwezi kuwaka.
 
Back
Top Bottom