still not a reason to hold waterNadhani rais kaona kumreplace Anna ni rahisi kuliko kumrepkace Muhongo.
Ha ha nimeipenda hiiNadhani rais kaona kumreplace Anna ni rahisi kuliko kumrepkace Muhongo.
Mbona iko straight forward - Anna red handed, Muhongo hearsayWadau naomba tujadili bila ya jazba!
Naomba tuangazie kanuni anazotumia mh. Rais katika kusimamia misingi ya uadilifu na utendaji uliotukuka!
Hebu na tujikumbushe matukio haya mawili!
Serikali ilipanga zoezi la kushtukiza kutaka kutathmini idadi ya watumishi hewa, kwa bahati mbaya Mkuu wa mkoa akatoa taarifa za kupotosha na hivyo Mkuu wake wa kazi akatengeneza team kubaini ukweli na ilipogundulika amedanganya au kupotosha umma hapakuwa na simile ameondoka!
Miezi kadhaa nyuma, waziri Mkuu alifanya zoezi la aina kama hiyo kutaka kujua jinsi bandari inavyoleta hasara na sehemu kuu ni juu ya udhibiti wa bomba la mafuta!
Kwa bahati mbaya kuna waziri akamtonya mtendaji mkuu wa wakala wa vipimo afungue mtambo ambao ndio uliokuwa ukilengwa ktk ziara nzima!
Waziri alichofanya ni kupindisha ukweli na hivyo yeye pia hakuwa muaminifu kwa serikali! Akaachwa na hakuwajibishwa, labda alichpwa viboko vi5 hatuwezi jua lkn kesi yako haikwenda kwenye media!
Natamani mtu atueleze vigezo vya uadilifu kwa kesi 1 na 2 na hapa kwanini huyu wa kesi ya kwanza hakupewa hata sekunde na huyu waziri yeye apete tu!
Hivi ni kweli waziri ni muadilifu?
Kweli waziri wa aina hii ni wa kumuaminika?
Labda wenye ujuzi tuleteeni tathmini juu ya principles zinazo guide maamuzi ya baba mwenye nyumba!
Tatizo lililopo mnajenga hoja kwa kutumia hisia.
Hiyo message ya kumtonya mtendaji mkuu wa wakala wa vipimo uliiona?
Hata Waziri Mkuu hakuamini maneno ya Mkuu wa Wakala wa Vipimo ndio maana akamuagiza ayaweke kwenye official document yakiambatana na vielelezo.
Je, unafahamu huyo Wakala aliweka vielelezo gani ambavyo havikusaidia katika hoja zake?
Wekeni kwanza vielelezo na siyo kujadili hisia.
Kwakukusaidia zaidi, zoezi la kutathmini idadi ya watumishi hewa halikuwa la kushtukiza. Wakuu wa Mikoa walipewa wiki mbili.
Logically uko sawa!Mbona iko straight forward - Anna red handed, Muhongo hearsay
Tatizo kama Taifa tumejenga fikra za kupenda kusikia tunayopenda hata kama hakuna ukweli ndani yake.Kazi ya wakala siyo kutengeneza mita, ni kukagua na kufungia zile mbovu.
Mita za bandari kama zilivyo haziwezi kupima kwa usahihi, uwezo wake ni mdogo kuliko pampu za meli.Ili mita ya mafuta ifanye kazi kwa usahihi ni lazima iendane na nguvu ya pampu.
Wajibu wa kutengeneza au kubadilisha hizo mita upo kwa mmiliki (bandari) na siyo wakala.
Tatizo la hizo mita linaanzia mbali zaidi tangu waliponunua na kufunga kwa kuwa uwezo wake hauendani na matumizi ya pale.
Haieleweki ni kwa vipi waziri atoe maagizo tena kwa sms kwa Mtendaji Mkuu wa wakala.
Kati ya mashetani wawili usichague hata mmojaMbona iko straight forward - Anna red handed, Muhongo hearsay
Hapo ni double standard tu eti Ku mu replace ni ngumuNadhani rais kaona kumreplace Anna ni rahisi kuliko kumrepkace Muhongo.
Kweli hakutangaza kwa umma!Unaposema la Muhonga halikufanyiwa uchunguzi how sure u a?kwan wakat anatuma watu kuchunguza watumishi hewa Shyng alitutangazia?si imejulikana baada ya kukuta mambo hayako sawa?Tatizo kila mtu anataka kusema&kuonekana anajua hatakama vinavyosemwa havijui.tunabadili hisia kuwa fact...Hakuna anayeyajua haya zaid ya yy mwenyewe.kujifnaya tunajadili hapa ni sawa na kusema tuna uwezo wa kuingia akilini mwa rais na kujua anawaza nn