Kila nikimwangalia Netanyahu nakumbuka hotuba ya Nyerere pale Upanga 1978 " Sababu tunayo, Nia tunayo na Uwezo wa kumpiga Amin tunao"

Israel bora atulie vita viishe wale ni shia sio sunni , hata uwazidi kifuatacho ni mashambulizi ya kujitoa muhanga ....Jana tu watu 6 wamekufa hapo Tel Aviv kwa kupiga risasi..

Israel ajue kammaliza mkuu wa Hamas, kitu ambacho kimempa Iran fedheha sana bado wakammaliza na Nasrallah

Vita sio nzuri unless jamaa kapiga millitary sites , kingine Israel ameua sana viongozi wa Iran bora atulie kwa kweli .
 
Inatakiwa mbabe awepo mmoja. Habari za kupigiana kelele kila siku tumezichoka
 
Iran wazee wa kumwaga mboga .

Multiple IRGC-affiliated Iranian outlets & Telegram channels report, "Iran has warned the US: if you target our refineries, we will set fire to the refineries and oil fields across the entire region, including those in Saudi Arabia, Azerbaijan, Kuwait, the UAE, and Bahrain."

Waarabu wa sunni watakipata nao , Iran hataki kufa peke yake.
 
Back
Top Bottom