Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,668
- 30,556
Shalom shalom wana wa Mungu alie hai. Naamini wote mu wazima kwa uweza wa Mungu wetu juu mbinguni
Biblia inasema penda kubariki ili ubarikiwe na anaye kulaani atalaaaniwa.
Napenda kuwatakia wote baraka za mwenyezi Mungu kwa kuwaamsha salama siku ya leo.
Mwisho kabisa napenda kuwatakia kheri wana ndoa woteee wanaoenda ama walioenda kuoana siku ya leo sehemu mbalimbali.
Najua nimechelewa kutoa michango yenu. Wengine ntawamisi kwenye sherehe zenu ila kwa uweza wa allah nawatakia ndoa njema za baraka na mafanikio.
Mungu hajawahi shindwa, kukumbushana tu ndoa sio ile pete mnazoenda valishana.
Ndoa ni upendo na amani na moyo wa kuvumiliana.
Huyo unaemwoa ama Kuolewa leo nikukumbushe sio dada yako wala kaka yako.
Kama kakakoo na dada yako mlikuwa mnaparangana basi ujue unaeenda kuwa nae leo sio malaika ana mapungu yake huko alipotokea.
Nasema haya sio kwa ubaya ndoa haiangalii pesa kuna wana ndoa wamegawana ghorofs kule mbezi beach wanaingilia geti moja
Msifike huku kabisa naaomba muwe na roho ya kuvumliana, Kupendana, Kusaidia na Kuelimishana anapokosea mwenzio mnarekebishana, Kutunziana madhaifu yenu ndani.
Sio kila mtu anafurahia madhaifu yenu wengine wana viwembe na mapanga wanasubiria muachane
Jifunzeni kumtanguliza Mungu kila Muamkapooo na kama mna watoto salini nao mapema kwa pamoja.
Sala huondoa adui ndani ya nyumba aijalishi maovu uliyoyafanya
Mwanamke, Nikukumbushe lieni kwa ajili ya waume zenu. Mwanamke una mamlaka makubwa kumbadilisha ama kummaliza mumeooooo
Mmwanaume hatakii kelele mamaa mwanaumee atakuvumiliaa mdomoo wako mwisho atakuchoka yanayofwaata utanikumbukaaa jifunze ku control mdomo wako kwenye ndoa yako.
Mdomo unajenga ama kubomoa. Mwanaaume atabaki kuwa kichwa cha familia hata uwe na pesa ghorofa nzima.
Heshimu mumeooo tunza ombea madhaifu yakee Mungu atayabadilisha.
Jihadhari na kukaaa kwa watu wenhe midhaaa wambeya wafitina wanafiki na makundi kama hayo hawatakusaidia kwenye ndoa yako hao wataishia kukwambia mtese huyo mbwa lala chumba cha pli ama sebulen uone kama ajakuheshimu.
Ndugu wanaume watu wagumu kusahau mateso bora uteswe wewe kuliko kumtesa mwanaume..Atarudi na kukufurahia siku yameibuka nakwambia na simu anazima anakaa wiki nje.
Mungu awabariki sanaaaaa jambo muhimu najua wapo mnaoenda majumbani baada ya harusi, wengine honeymoon mahotelini.
Niwaombe tu msikimbilie kufungua zile zawadi zenu, Sioo wote mliowaona wanawapenda.
Hakikisheni kuna mtumishi wa Mungu anakuja kuziombea mnaanza kufungua.
Ndoa nyingi zimepigwa na zawadi za kwenye harusi sikutishi mimi ni mhanga ndio maana sitaki kuona mwenzangu akiteseka.
Niliwahi andika haya muwe makini na zawadi za kwenye ndoa.
Mimi sikukaa miezi 2 nikakimbia na kuacha kila kitu ila shuhuli ilianzia kwenye zawadi hotelini kubwa tu masaki.
Fungua na wewe nikakutana na box limejaa mawe na juu vifuu vya nazi mbovu mwanake akaana malaya zako hawa imagine mko kusaidiana mnanzishiana maneno hayo.
Nikagomaa kuendeleaa fungua wewe sikuhio hata kuondomola nikashindwa Maneno machafu.
Asubuhi karekebishika kafungua yeye kufungua kadhaaa imooo tukakuta box limejaa khanga mbichi kama 10 katikati zimeshungushiwa madafu.
Ndugu na mie yakanijia nakamwambia na wewe mabwama zako haooo unanletea ma X kwenye harusi.
Nikashuka nkaenda kushinda bar. Siku ikaharibika tulilipiwa siku 7, Siku ya nne nkachakilakitu hotelini nikarudi home akaja home wiki ya pili sikutaka hata kujua katoka wapi zaidi ya kukumbuka nilimwacha hotelini.
Nguvu ya zawadi za harusi sio za kuchezea kiliichoofwata kuachana kwa amani.
Msifanye hivyo, sio mapenzi ya Mungu muachane.
All the best.