ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,532
Hili ni taifa teule la Mungu. Pamoja na Kuzingirwa na maadui pande zote yaani Hezbollah, Houth, Hamas, Iran, Russia na silaha kutoka kila upande wa dunia, bado Israel imeibuka kidedea.
Ushindi huu Sisi wengine mapema tuliona. Tulionya pia kwamba hawa maadui watapigwa. Kweli dunia imeshuhudia.
Kulikuwa na makelele kutoka kila upande wa dunia hadi UN. Netanyahu hakusikiliza Yale makelele, aka endelea Kupigana.
Hatimaye dunia imeshuhudia uhodari wa watoto wa YAKOBO.
Hakuna taifa lenye uwezo huo hapa duniani. Ni Israel tu.
Sasa vikundi vyote, yaani Hezbollah, Hamas, Syria na mataifa mengi adui wanaomba Amani na Israel.
Ndugu zangu, neno la Mungu ni kweli, biblia ni kweli, tunayohubiri kuhusu Israel ni kweli. Hatudanganyi.
Kuhusu dhambi, au ushoga wa Israel hata kipindi cha Musa mashoga WALIKUWEPO. Ahadi ya Mungu IPO pamoja na Machukizo wanayofanya. Kristo atawaokoa hapo Mbeleni.
Kupigana na Israel ni Kujaribu kupigana na Mungu. Maadui zote Wameshindwa
Mungu ibariki Israel🇮🇱