Kila kitu safi, tatizo hiyo t-shirt ya ndani haijaendana na suti

@Mataruke: Kama ndivyo basi ni kosa kubwa kiusalama kujiweka wazi vile ulivyojihami tena kwa kiongozi mkubwa wa nchi.
 
Hilo nalo neno lakini kuna haja kwa mheshimiwa kushauriwa kuhusiana na suala la mavazi. Dar joto avae kikawaida tu kulingana na pahala aendapo. Katika hiyo picha mimi naona makosa kidogo
Ina maana gari la Rais halina kiyoyozi a.k.a full kipupwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…