mj909

Member
Aug 1, 2024
86
204
Kuna rafiki yangu kanilalamikia sana leo, anasema ana mwanamke alimtongoza na wana miezi kama saba hivi.

Kila akimpanga kuja geto anatafuta visingizio ila jamaa anajitoa sana kwa mwanamke, akiomba pesa anapewa, akiomba pesa ya kusuka anapewa, jamaa akiomba waonane wanaonana sehemu kama kwenye migahawa ila akigusia tu kupewa mzigo mwanamke anatafuta sababu na siku hiyo hatatoka kabisa au atafute kaugomvi ili siku ipite.

Pia soma: Uhusiano wa pesa na sex kwenye mahusiano ya kimapenzi

Sasa jamaa kaja kuniuliza kwamba huyu mwanamke atakuwa anampenda kweli? Ananiambia kwenye simu ame seviwa "my favorite❤".

Kwakweli mimi nimeshindwa kumwambia kitu chochote maana mimi pia nina majanga yangu sija yapatia ufumbuzi, jamaa akitaka kumuacha mwanamke anakuwa mgumu kumuachia jamaa
 
Kuna rafiki yangu kanilalamikia sana Leo, anasema ana demu alimtongoza na wana miezi kama saba hivi kila akimpanga demu kuja geto anatafuta visingizio ila jamaa anajitoa sana kwa demu demu akiomba pesa anapewa akiomba pesa ya kusuka anapewa jamaa akiomba waonane wanaonana sehemu kama kwenye migahawa ila akigusia tu kupewa mzigo demu anatafuta sababu na siku hiyo hatatoka kabisa au atafute kaugomvi ili siku ipite ...sasa jamaa kaja kuniuliza kwamba huyu demu atakua anampenda kweli? Ananiambia kwenye simu ame seviwa "my favorite❤" kwakweli mimi nimeshindwa kumwambia kitu chochote maana Mimi pia nina majanga yangu sija yapatia ufumbuzi. Na jamaa akitaka kumuacha demu anakuwa mgumu kumuachia jamaa
Sasa kwani kupewa mzigo ndio kupendwa?Au kwamba kumpa mwanamke pesa ndo kumpenda.

Kama anataka demu ambaya unampa pesa ili akupe mzingo mbona wako wengi?
 
1722779664992.jpg
 
Back
Top Bottom