Hakuna mtu aliyekamilika,hakuna.Hata mzazi wako,hata kiongozi wako wa nchi hajakamilika.Kila mtu ni mbaya kwenye jambo fulani na mzuri kwenye jambo fulani.Kuna mambo ambayo Mstaafu Rais Dr. Kikwete alikuwa anayaweza zaidi,na mengine anavurunda kabisa,pia kuna mambo ambayo Rais wa JMT Dr. Magufuli anayaweza na mengine anavuruga kabisa,au serikali ya watu aliwateau/kuwachagua wanavurunda kabisa.
(UWEZO WA ) au UTAWALA WA KIKWETE
-Uteuzi mbovu
-Usimamiaji mbovu
-Ufuatiliaji mbovu
-Uhuru wa habari kwa kiasi fulani kinaweza kuridhisha.
-Haki kwa wafanyakazi na watumishi wa serikali.
-Kushindwa kuzuia mianya ya Rushwa.
-Kushindwa kupambana na ufisadi
-Kushindwa kufuatia ulipaji wa kodi
-Uwezo mkubwa wa kujenga uhusiano na nchi za nje.
UWEZO WA SERIKALI YA MAGUFULI
-Ufwatiliaji mzuri kwa wastani
-Usimamiaji mzuri kwa wastani
-uteuzi mzuri kwa wastani
-kukandamizwa kwa vyombo vya habari na kutumika kwa maslahi ya watu fulani/chama pekee.
-Haki finyu kwa wafanyakazi
-kuimarika kwa njia za udhibiti rushwa.
-Kuimarika kwa njia za ukusanyaji mapato,na uwezo wa kuwafichua wasiolipa kodi
-Kushindwa/kuelekea kushindwa kupambana na ufisadi mbeleni
-Uwezo mdogo wa kujenga na kuimarisha mahusiano ya nji za nje/kimataifa.
I REST MY CASE
---Zingine ongezeeni