Barakaeli174
Senior Member
- Aug 2, 2015
- 171
- 142
Wewe sio mzimaHakuna kupendwa hapa mmedeka sana,taifa likaanza kuangamia
Hahahahaa hapa kazi 2 na badooHapa kazi tu
Unalipa kodi na kodi inakurudia au inawasaidia watanzania wengine wenye matatizo hakuna anayependa kupatwa na hadha hiyo, sawa tuseme hivi mafuriko nayaamrisha yajekwenu yafike hapo unapoishi ibimoe nyumba mnapoishi ili iwe kipimo tujue utadeka au hutadeka kama unavyomaanishammedeka vya kutosha salsa bac tena
Mmewatetea wasihame toka mabondeni. Wasaidieni nyie mnaojipendekeza kwa wahatifuWana Jf
Huyu Rais mstaafu lazima tumkubali pamoja na mengine ambayo wengine hawaweI kutambua ila kwa majanga na mafuriko alikuwa mwenyewe, alikuwa Rais mpendwa na mpenda watu sana hata wakuu wa mikoa kama Mek Sadik ambaye ni mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro kwa sasa, ilikuwa majanga, mafuriko yakitokea tu utawaona wameshaenda ndani ya muda mchache sana ilimradi mnvua ziwe zimetulia kidogo tu, niulize mioyo yao ilikuwa ina nini mpaka waende kwa haraka sana kuwajulia watu hali, mara ya mwisho nlimuona kikwete darajani akiwahoji ma engenieur wa jiji, hivi kweli kuna hatua ambazo zina takiwa kuchukuliwa na viongozi kwa muda na kwa wakati ili wananchi wapate faraja?
Acha maneno ya kujikomba na kujiona Uko upande sahihi, jana halina hodi. Leo hii Sinza yote imefurikwa maji, Posta, Kijitonyama, Makumbusho...huko nako ni mabondeni?Sasa kwenda kuwaona hao waliopatwa na mafuriko ilikomesha mafuriko? Watu wahame mabondeni, full stop.
Makao makuu ya mwendo kasi yapo bondeni, kaanze kuyahamisha mamaMmewatetea wasihame toka mabondeni. Wasaidieni nyie mnaojipendekeza kwa wahatifu
Umeshatoa povu la kutosha, chukua nguo ukafue sasa.Acha maneno ya kujikomba na kujiona Uko upande sahihi, jana halina hodi. Leo hii Sinza yote imefurikwa maji, Posta, Kijitonyama, Makumbusho...huko nako ni mabondeni?
Well then, kama majanga yanamkuta MJINGA anayekaa bondeni, yule aliyejenga Base ya mwendo kasi iliyofurikwa na mvua ya siku moja tumwiteje?
Watanzania tusijisahau. Angalia mwenzetu aliyejisahau akapitilia leo kageuka digidigi...chunga domo hilo. Kule upareni kulikotokeaga land slide nako ni bondeni? Shuuubamit!