Kikwete: Mzee Manji kabla hajafa alinikabidhi mwanae Yusuf Manji nimlee!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
96,005
168,412
Rais Mstaafu Mzee Kikwete akiongea wakati wa Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji amesema baba yake Yusuf yaani mzee Manji alipokaribia kufa alimkabidhi mwanae Yusuf Manji Ili amlee

Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji imeandaliwa na Watoto wake

Source: Kitenge Tv
Huyu mzee ni muongo na tapeli haswa, kwanini hakusema wakati yupo hai na alipofilisiwa na Makonda?
 
Rais Mstaafu Mzee Kikwete akiongea wakati wa Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji amesema baba yake Yusuf yaani mzee Manji alipokaribia kufa alimkabidhi mwanae Yusuf Manji Ili amlee

Dua ya kumuombea Heri mwendazake Yusuf Manji imeandaliwa na Watoto wake

Source: Kitenge Tv
Sasa,mbona alimuacha nyakati fulani ateswe,atwezwe utu wake,afungwe jela kiuonevu na kunyang'anywa mali na fedha zake kibabe tu?Alikuwa wapi?
 
Wenzetu wataalamu wa Uchumi Wana msemo wao maarufu wa "Mnyororo wa Thamani"

Hii Nchi ili kuendelea itachukua miaka 200 ijayo hadi Vizazi vya hawa ma-borntown vifutike kwenye Uso wa Dunia

Otherwise tutaendelea kuisoma namba 🙌
 
Halafu sasa hawa wanae ,mbona wote walisikika kwenye minong'ono ya mapouwda,, yule china huyu safisha ya Makonda nayo haikumuacha salama,,,,,.....au ndo yale ukiwaona watoto wa simba sehemu jua simba mkubwa yupo karibu........kwakweli Msoga ndo iliivuruga nchi kabisa
 
Huku anatabasam!
Kikwete hata umchukie Kwa matendo fulani ya utawala wake ni ngumu sana kumdharau!!

Mikopo ya elim ya juu na ajira kwa wasomi watoto wa maskini baada ya kuhitimu vyuo ndio muhuri was utawala wake!!

Sio juzi mei mosi Dr. Mpango anatujibu eti wagebill ya shirika la kazi duniani eti ni kubwa kwetu hatuwezi ajiri !Sasa unajiuliza idadi ya watu mbona inaongezeka!?na mahitaji ya huduma za kijamii kuanzia mashuleni,mahospitalini hadi kilimo mifugo yanaongezeka kwanini wasomi wasiajiriwe !!?na deni la taifa mnasema ni himilivu!!?


Wanakopa wanakula wao na watoto wao na kujaza mapesa akaunti halafu wanasema eti watoto wa maskini wajiajiri !!!


Live long jk!

Serikali Yako ililalamikiwa Kwa ufisadi lakini kazi tuliiona na unafuu tuliuona Kwa wasomi maskini!!Sasa hivi mikopo ipo mapesa kibao lakini hakuna ajira Wala maajabu yeyote !!
 
Back
Top Bottom