nimemsikiliza kikwete alipokua akifanya usafi 9/12/2015 anajisifu anasema alipandisha mapata toka 177 bilioni mwaka 2005 alipoingia hadi 900 bilioni mwaka 2015 alipotoka, ila ukiangalia ndani ya miaka hiyo 10 mfumuko wa bei ni karibia marala 10, sasa hivi "real value" ya mapato hapo imepanda au imeshuka,?
KWELI, ILA JAMAA UKIMSIKIA AKITOA TAKWIMU ZAKE UNAWEZA UKAMWAMINIHakuna mkakati wowote positive alioanzisha ili kukuza mapato,vitu vingine vinatokea naturally katika human race,juhudi zetu zinapoongezeka kutafuta maisha ndio hapo serikali nayo ikapata hayo mapato kiduchu tena asilimia kubwa ni kutoka kwa wanyonge na waajiriwa.Kwa matajiri wangependa mkwere awe Rais daima ili waendelee kukwepa kodi na kujilimbikizia mali bila woga,JK IS TOTAL SHAME,WORST PRESIDENT IN HISTORY
KWELI, ILA JAMAA UKIMSIKIA AKITOA TAKWIMU ZAKE UNAWEZA UKAMWAMINI
He is actually a sucker... FoolHakuna mkakati wowote positive alioanzisha ili kukuza mapato,vitu vingine vinatokea naturally katika human race,juhudi zetu zinapoongezeka kutafuta maisha ndio hapo serikali nayo ikapata hayo mapato kiduchu tena asilimia kubwa ni kutoka kwa wanyonge na waajiriwa.Kwa matajiri wangependa mkwere awe Rais daima ili waendelee kukwepa kodi na kujilimbikizia mali bila woga,JK IS TOTAL SHAME,WORST PRESIDENT IN HISTORY