Kikao cha leo kinazungumzia kwanini hujaoa na kwanini huolewi

Mi nikipona wivu (level ya cancer stage 4) naoa.

Yan mi mbinafsi sana sitaki mtu anichafulie ninapoweka midomo!

Kingine ni mkataba wa ndoa kutokuwa na kipindi cha mpito (viambatanisho nimeweka)



 
Back
Top Bottom