Kikao baina ya DRC na M23

MBOKA NA NGAI

JF-Expert Member
Jan 31, 2025
376
639
Hii ni tarehe 18 March, 2025 huko Angola.

Serikali ya DRC ina wafungwa wengi wa AFC/M23. Ombi la kwanza la hawa viumbe, ni kuhakikisha wanaachiwa huru kabla ya mazungumzo.

Nani ana tiketi ya mazungumzo sasa!!!
 
Back
Top Bottom