Kijiji chatumia midoli kuondoa upweke Japan! Hapa mimi sijaelewa!!

Morning_star

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
5,658
16,137
Japani ni nchi ndogo mpaka uizidishe mara 2.5 ndo uipate Tanzania (Japan ni 378 km za mraba ukilinganisha na 947 za Tanzania).

Pamoja na udogo wake, japani ina watu wengi karibu mara mbili ya Tanzania (Japan ni 124million ukilinganisha 70mill). Sasa haka kakijiji upweke unatoka wapi?

Bila shaka watakuwa wachawi saana! 😂😟😂 Kumbe Japan kwa uchawi Tanzania tukasubiri kwanza! 😂😂😂
Screenshot_20241030_205901_Instagram.jpg
 
Kweli kuishi kwingi kuona mengi

Yaani Kijiji kina wakazi 61 tu na kimepata Usajili

Huku Tanzania hakuna sifa ya kusajili Kijiji chenye wakazi Chini ya 1,000 maybe kiwe Kitongoji
 
Wazee washakuwa wengi huko, vijana hawataki kuzaa wanaona tabu mzigo wa kulea, utandawazi nao umewaathiri sana hivyo ushoga, usagaji, uoga wa majukumu, kutoona umuhimu wa kuitwa baba au mama vyote hivyo ni mwiba Kwa Japan.
 
Hawa wanaabudu kazi sana, nadhani ndio taifa ambalo linaongoza duniani kwa raia wake kufanya kazi masaa mengi zaidi
Mpaka Serikali yao inaweka sleeping corridor ktk maeneo ya kazi lakini jamaa hawataki wanakomaa na mzigo
Duh alafu kuna wabongo huku, kazi saa 2, sogaa saa 3, Bata saa 5, lawama saa 4, saa zilizo baki ni mwendo wa kulala.
 
Back
Top Bottom