Muyobhyo JF-Expert Member Oct 9, 2014 8,149 6,544 May 15, 2017 #1 Kuna habari kutoka kijiji cha Sangu kule wilaya ya Kwimba, wakisema fisi wavamia kijiji na kula au kuua watoto, mlioko huko au karibu, tunaombwa kujuzwa.
Kuna habari kutoka kijiji cha Sangu kule wilaya ya Kwimba, wakisema fisi wavamia kijiji na kula au kuua watoto, mlioko huko au karibu, tunaombwa kujuzwa.
CleverKING JF-Expert Member Apr 24, 2014 8,502 25,469 May 15, 2017 #2 Duh! Ina maana hata huko porini nako hali ni ngumu mpaka Fisi nao wameamua kuja kujitafutia chakula kwenye miji ya watu?!
Duh! Ina maana hata huko porini nako hali ni ngumu mpaka Fisi nao wameamua kuja kujitafutia chakula kwenye miji ya watu?!
N NAKWEDE JF-Expert Member Aug 1, 2007 27,966 35,152 May 15, 2017 #3 Tatizo ni kwamba yawezekana wakawa fisi kweli wa porini au ni mambo ya "utamaduni"
silasc JF-Expert Member Feb 10, 2013 3,347 1,984 May 15, 2017 #10 CleverKING said: Duh! Ina maana hata huko porini nako hali ni ngumu mpaka Fisi nao wameamua kuja kujitafutia chakula kwenye miji ya watu?! Click to expand... nacheka kama mazuri vile, hii comment ni shida...
CleverKING said: Duh! Ina maana hata huko porini nako hali ni ngumu mpaka Fisi nao wameamua kuja kujitafutia chakula kwenye miji ya watu?! Click to expand... nacheka kama mazuri vile, hii comment ni shida...
Qurie JF-Expert Member Aug 9, 2015 3,643 3,874 May 15, 2017 #11 Mmhh mungu awalinde watoto wa huko nlisikia fisi anaogopa mtu mrefu so hawezi kumdhuru mtu mzima labda mtoto
Mmhh mungu awalinde watoto wa huko nlisikia fisi anaogopa mtu mrefu so hawezi kumdhuru mtu mzima labda mtoto
Qurie JF-Expert Member Aug 9, 2015 3,643 3,874 May 15, 2017 #12 Mmhh mungu awalinde watoto wa huko nlisikia fisi anaogopa mtu mrefu so hawezi kumdhuru mtu mzima labda mtoto
Mmhh mungu awalinde watoto wa huko nlisikia fisi anaogopa mtu mrefu so hawezi kumdhuru mtu mzima labda mtoto