Samahani Mtoto amepoteza thread kabla sijamaliza kuiandika. Namalizia hapa.
Jamaa ana umri wa miaka 25 sasa, anaishi kwa kaka yake tangu alipoanza form one hadi sasa anafanyakazi. Kinachoshangaza hapendi mke wa kaka yake aishi pale hali inayosababisha mama huyo kulazimika kuishi na Wazazi wake.
Tangu alipoenda kuishi nao ni vituko kila anapokuja shemeji yake hadi anataka kumpiga akimtaka aondoke.
Chakushangaza kaka yake anatazama tu hali hiyo hasemi chochote.
Je. Huyo mama angekuwa nduguyo ungemshauri vipi?
Huyo mke ni wewe,sasa nakushauri ni kuwa mumeo ndiyo hakutaki ila ameshindwa kukuambia live so anamtumia Mdogo wake afikishe ujumbe indirect.Pole kwa kurudi kwa wazazi ila dai chako mapema
"..Huo dada ana umri gani?"Jamaa ana umri wa miaka 25 sasa, anaishi kwa kaka yake tangu alipoanza form one hadi sasa anafanyakazi. Kinachoshangaza hapendi mke wa kaka yake aishi pale hali inayosababisha mama huyo kulazimika kuishi na Wazazi wake.
Tangu alipoenda kuishi nao ni vituko kila anapokuja shemeji yake hadi anataka kumpiga akimtaka aondoke.
Chakushangaza kaka yake anatazama tu hali hiyo hasemi chochote.
Akufukuzae hakwambii tokaSamahani Mtoto amepoteza thread kabla sijamaliza kuiandika. Namalizia hapa.
Jamaa ana umri wa miaka 25 sasa, anaishi kwa kaka yake tangu alipoanza form one hadi sasa anafanyakazi. Kinachoshangaza hapendi mke wa kaka yake aishi pale hali inayosababisha mama huyo kulazimika kuishi na Wazazi wake.
Tangu alipoenda kuishi nao ni vituko kila anapokuja shemeji yake hadi anataka kumpiga akimtaka aondoke.
Chakushangaza kaka yake anatazama tu hali hiyo hasemi chochote.
Je. Huyo mama angekuwa nduguyo ungemshauri vipi?
Etii? Ebu rudia tena kwa sauti...kaka anagongwa na mdogo mtu
Thread closedHuyo kaka atakuwa ameolewa na mdogo wake
dogo kamuoa kakaEtii? Ebu rudia tena kwa sauti...
Itakuwa huyo mke ana mdomo sana...