Mchafuu
New Member
- Feb 29, 2024
- 4
- 13
Mwanaume ukijitambua vizuri utagundua kuwa,
Haitoshi kuamini unapendwa kwa kuambiwa au kwa text like "NAKUPENDA"
Mwanaume hapendwi bali anaheshimiwa, Bro ukiheshimiwa utapenda tu
Ndio maana we choose to marry mid girls with respect, hawa classy ladies tunatumia kama Path.
Manzi akikuheshimu kabisa
1. Hawezi cheat
2. Arguments zinapungua
3. Atakutaja popote bila aibu
4. Anakubali kuwa under control
5. Upendo ni 100%
Bros
Sex sio determinant ya kupendwa but Respect is.