Kijana ambaka bibi kizee wa miaka 84

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,563
21,665


Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 32 mkazi wa Kijiji cha Chungu, tarafa ya Ihanja, wilaya ya Ikungi, Mkoani Singida amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumbaka mara tatu Bibi kizee mwenye umri wa miaka 84.

Pichani ni Bibi kizee akiwa amebebwa na mmoja wa ndugu zake wakati akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya mjini Singida kutoa ushahidi katika kesi hiyo ya ubakaji.
 
Dah hii itakuwa maagaizo kutoka kwa mganga mbaya sana..
 
Kam`baka mara tatu kwa siku moja au hzo mara tatu siku tatu tofauti?na huyo jamaa kweli mwehu madada pouwa kibao tena hawakatai hata kwa mkopo unapata mchezo ss ataona shoo ya jela inayofuata kwake
 
Kam`baka mara tatu kwa siku moja au hzo mara tatu siku tatu tofauti?na huyo jamaa kweli mwehu madada pouwa kibao tena hawakatai hata kwa mkopo unapata mchezo ss ataona shoo ya jela inayofuata kwake

Kataka uchi ulioshuhudia Second world war!
 
 
Hivi hapo kuna ladha yoyote anayopata kha ugumu mwingine ni shida anaweza hata kubaka mtoto wake huyo wa miezi 2
 
Huo ndio mwisho wa dunia, sasa kwa huyo bibi wa miaka 84 alikuwa anafaidi nini
kitu tight babu,huku mtaani mabint wanatumika sana kiasi hujui upo nje au ndani,kutwa kupatia vikolokolo,mara shabu mara ndimu,mgagani,pabane..ndimu zmekua adimu,jamaa kafaid japo cna hakika kama thermometer ilisomea mbali
 
Hawa wazee wa zama hizi siyo wa kuwaamini 100%! Unaweza kumlaani hyo kijana kumbe bibi wa watu ndiyo kaomba game la mchangani
 
Pale si amebaka mifupa tu. Mijitu mingine bana wakati wanawake wapo mpaka wa buku tu
 
Ni
Nkind haopost: 15904038 said:
Nadhani wanahabari walitakiwa kumsitiri huyo Bibi Kizee Picha yake isingewekwa.
Yeah huko ni kumdhalilisha Bibi wa watu. Aliyetakiwa kuanikwa ni huyo Mshenzi alienda kutafuta uganga ili atajirike.
Hukumu iko wazi kama kweli ametenda ambayo ni miaka 30 jela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…