Kijana aliye fariki mwaka 2013 akutwa akiwa hai katika nyumbaya mfanyabiashara mkubwa

Shindu Namwaka

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
4,911
3,082
Kijana aliye fariki mwaka 2013 akutwa akiwa hai katika nyumbaya mfanyabiashara.












[/QUOTE]
 
Hatutaki kwenda kuongeza views kwenye blogs za watu.We mwaga habari yote hapa.alikutwa kaulamba anajichana pilau lake la pasaka au kakutwa kama msukule...Sema basi waswahili tuanze kuhukumu!
 
Kumbe alikuwa Rasta du..jamaa alikuwa amemfanya ndondocha ili aendelee kupga pesa kwa njia za kishirikana EE Baba njoo huku upesi wanao tunaangamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…