mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,229
- 4,554
Ahmed Albaity aliyelala kitandani
Ahmed Albaity anasumbuliwa na tatizo la uti wa mgongo baada ya kuanguka na kuvunjika Shingo alipokuwa akiogelea ambapo kwa sindano moja pekee inagharimu Dollars 26,000/= sawa na shillingi million 52
Ahmed al Baity ameshukuru kwa msaada huo ambapo amesema tatizo lake lilianza mwaka 2006 na alipelekwa nchini china na kupatiwa matibabu lakini alishindwa kumudu gharama kwani dozi mmoja ya tiba iligharimu kiasi cha dola 20,000/= zaidi ya milioni 45 za kitanzania.
Ahmed anatarajiwa kuondoka nchini Jumapili Machi 4 ambapo taratibu zote zikiwemo viza ya miezi mitatu pamoja na wasaidizi wake watatu zimekamilika.
Pia soma
- Mtanzania Ahmed Albaity mwenye ugonjwa wa kupooza anaendeleaje?
- Paul Makonda, shukrani kwa kuonesha nia ya kumtafutia tiba kijana Ahmed Albeity