smart introvert
Member
- Feb 15, 2013
- 64
- 109
Habari zenu wadau? Poleni na vita ya corona. Naomba kwa anaejua kwaya walioimba kiitikio cha ngoja ya roma inayoitwa kaka tuchati ile kwaya ni kwaya gani na wimbo unaitwaje. Ahsante
Ameimba msanii mmoja tu anaitwa One Six mkali wa hizo kazi
Mungu wa Miungu ni jiwe?“.... Bwana wa Mabwana Mungu wa Miungu Alfa na Omega Nani Kama wewe.... ”
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo one six ni nyoko! Nna ngoma zake ni kali balaa, yani nashindwa kuelewa labda mwana pengine hana ngekewa sijui!Ameimba msanii mmoja tu anaitwa One Six mkali wa hizo kazi
Watz ndiyo wahujui miziki mizuri.Huyo one six ni nyoko! Nna ngoma zake ni kali balaa, yani nashindwa kuelewa labda mwana pengine hana ngekewa sijui!
Sio nyimbo ya.... ni wimbo wa....Habari zenu wadau? Poleni na vita ya corona. Naomba kwa anaejua kwaya walioimba kiitikio cha ngoja ya roma inayoitwa kaka tuchati ile kwaya ni kwaya gani na wimbo unaitwaje. Ahsante