Ukisikia Sanaa ndio hizi, ndio nini kutusomea kodi ambavyo ni hewa Bungeni kwa nini wasingesubiri 2019 ndio watangaze.
Inaeleweka kodi kwa wabunge ni 2020, lakini tunasomewa kodi leo wakati inajulikana haitatozwa kwenye bajeti hii..... hii ni Sanaa ilimradi ionekane kuwa serikali imewagusa hadi wabunge.
Sikuona mantiki ya Waziri kusoma hili Bungeni leo.!
Mkuu idawa, nadhani umesahau kwamba hii ni serikali ya maigizo ambayo huwa inatafuta sifa kwa gharama yoyote ile. Si umeona hata chenji iliyobaki kwenye zoezi la uchaguzi mkuu 2015 kapelekewa Baba Jesca badala ya kurejeshwa hazina. Yaani ni full kujichekesha kwetu wananchi ili mradi tu turudi kwenye kauli mbiu iliyotokomea gizani ya "Hapa Kazi Tu"....Hivi huyu Dr. Mpango hakuona kwamba suala hili la kutangaza kuondolewa kwa msamaha wa kodi kwenye kiinua mgongo cha wabunge litawachosha watanzania kwani halitarajii kutekelezwa mwaka huu wala mwakani!? Ama kwa hakika hii ni serikali ya kufikirika.
Nafurahi kama hata wewe shabiki mkubwa wa Magufuli umegundua kuwa hii serikali usanii uko mbele sana. Ngoja tusubiri utekelezaji wa bajeti tuoneUkisikia Sanaa ndio hizi, ndio nini kutusomea kodi ambavyo ni hewa Bungeni kwa nini wasingesubiri 2019 ndio watangaze.
Inaeleweka kodi kwa wabunge ni 2020, lakini tunasomewa kodi leo wakati inajulikana haitatozwa kwenye bajeti hii..... hii ni Sanaa ilimradi ionekane kuwa serikali imewagusa hadi wabunge.
Sikuona mantiki ya Waziri kusoma hili Bungeni leo.!
Waziri wa fedha wa serikali gani?Je waziri wa fedha 2019/20 akileta bajeti inayoondoa kodi kwenye kiinua mgogo, hii inayotangazwa sasa itakuwa na maana.
Tukumbuke sheria ya fedha na ya matumizi yake hutungwa kila mwaka wa fedha.
Inatakiwa wahusika wajiandae kisaikolojia kwanza.Ukisikia Sanaa ndio hizi, ndio nini kutusomea kodi ambavyo ni hewa Bungeni kwa nini wasingesubiri 2019 ndio watangaze.
Inaeleweka kodi kwa wabunge ni 2020, lakini tunasomewa kodi leo wakati inajulikana haitatozwa kwenye bajeti hii..... hii ni Sanaa ilimradi ionekane kuwa serikali imewagusa hadi wabunge.
Sikuona mantiki ya Waziri kusoma hili Bungeni leo.!
Wewe Pia ni mnafiki sana! Hukutusapoti wakati tulipopaza sauti kusema kuwa CCM ni wanafiki na haipaswi kuwachagua tena! Wewe ukaendelea kuwasapoti! Ona sasa!Ukisikia Sanaa ndio hizi, ndio nini kutusomea kodi ambavyo ni hewa Bungeni kwa nini wasingesubiri 2019 ndio watangaze.
Inaeleweka kodi kwa wabunge ni 2020, lakini tunasomewa kodi leo wakati inajulikana haitatozwa kwenye bajeti hii..... hii ni Sanaa ilimradi ionekane kuwa serikali imewagusa hadi wabunge.
Sikuona mantiki ya Waziri kusoma hili Bungeni leo.!
Ukisikia Sanaa ndio hizi, ndio nini kutusomea kodi ambavyo ni hewa Bungeni kwa nini wasingesubiri 2019 ndio watangaze.
Inaeleweka kodi kwa wabunge ni 2020, lakini tunasomewa kodi leo wakati inajulikana haitatozwa kwenye bajeti hii..... hii ni Sanaa ilimradi ionekane kuwa serikali imewagusa hadi wabunge.
Sikuona mantiki ya Waziri kusoma hili Bungeni leo.!
Wewe Pia ni mnafiki sana! Hukutusapoti wakati tulipopaza sauti kusema kuwa CCM ni wanafiki na haipaswi kuwachagua tena! Wewe ukaendelea kuwasapoti! Ona sasa!