James M Kiingereza HkH
Member
- Jan 25, 2024
- 8
- 2
Very happy to post this information regarding the Kiingereza HkH English course, which is now available in printed form too. Don't forget the app, which includes a number of books, can still be downloaded for free from the Google PlayStore, too. It has recently passed 100,000 downloads.
Vitabu hivyo vinaweza kutumika pamoja na programu ya Android. Kama utakosa simu ya kidijitali (smartphone), tumia maandishi ya matamshi katika vitabu ili kuepuka makosa makubwa ya matamshi.
Dar es Salaam
Kigamboni
Hans Stationery
Tuamoyo
Judith Stationery
Mzizima Police
Upanga
Victory Stationery
Mindu Street
Tandale
Sweet Corner Stationery
and Copy Shop
Sweet Corner
Kinondoni
Kinondoni Stationery
Kinondoni A Bus Station
Mwenge
Cybotech Limited
Mwenge Sokoni
Morogoro
Central
Sisule Stationery and Printing
Karibu na KCB Bank
Kichangani
PDF Stationery and Studio
Kichangani Shule ya Msingi
Tutaongeza duka zaidi na miji zaidi kwenye orodha hii katika miezi ijayo.
Kumbuka kwamba ikiwa unamiliki duka la kufotokopi/kunakili au la vifaa vya kuandikia na ungependa kutoa nakala za vitabu vyetu, unaweza kuwasiliana nasi kupitia info@kiingerezahatuakwahatua.com na tutakusaidia kuanza na kukuongeza kwenye orodha hii. Hatutozi aslimia ya faida, mrabaha (malipo ya mwandishi) au vinginevyo kwenye toleo la kozi lililochapishwa na hatukusudii kufanya hivyo katika siku zijazo.
Dhamira ya Kiingereza HkH ni kwa kila Mtanzania kupata fursa ya kujifunza Kiingereza - sio tu wale walio na simu za kidijitali na sio tu wale walio Dar es Salaam, lakini kila Mtanzania.
Karibu kwenye Kiingereza - Hatua kwa Hatua!
Welcome!
14 03 2025 Vitabu vilivyochapishwa vinapatikana sasa! DSM na Morogoro
Vitabu vinauzwa kwa takriban TZS 10,000 kwa kila kitabu, na nakala/fotokopi za vitabu zinapatikana kwa takriban TZS 2,000. Kila mtu anaruhusiwa kuwa na nakala za vitabu nchini Tanzania kwa hivyo tafadhali jisikie huru kutengeneza nakala nyingi kadiri unavyohitaji, au watoto wanavyohitaji.Vitabu hivyo vinaweza kutumika pamoja na programu ya Android. Kama utakosa simu ya kidijitali (smartphone), tumia maandishi ya matamshi katika vitabu ili kuepuka makosa makubwa ya matamshi.