Kihenzile Sekondari ya Kata Yazinduliwa, Mufindi - Iringa

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
2,590
1,190

KIHENZILE SEKONDARI YA KATA YAZINDULIWA, MUFINDI - IRINGA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega amezindua Shule ya Kata ya Sekondari Kihenzile iliyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, mkoani Iringa.

Waziri Ulega amezindua shule hiyo Septemba 30, 2024 huku akisema kuwa ujenzi wa shule hiyo ya Kata ni sehemu ya shule nyingi zilizojengwa nchi nzima na Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

“Tunamshukuru Mhe. Rais, Dkt. Samia kwa kutujengea shule hizi nchi nzima kwani zimesaidia kupunguza changamoto ya watoto kutembea umbali mrefu kutoka nyumbani kwenda shuleni”, amesema

Shule hiyo ya Kihenzile mpaka kukamilika kwake imegharimu kiasi cha Tsh. Milioni 700 ikiwemo ujenzi wa nyumba ya Walimu ambayo ni mbili kwa moja.

Katika hatua nyingine, Waziri Ulega pia ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa kituo cha afya cha Ihalimba na kukagua ujenzi wa mabweni 3 na kuweka jiwe la msingi katika shule la Sekondari Usokami.

"Mhe. Abdalah Ulega, Waziri wa Mifugo amezindua rasmi Shule Mpya ujulikanayo "Kihenzile Secondary School" iliyopo Kata ya Nyololo, Jimbo la Mufindi Kusini, Halmashauri ya Wilaya Mufindi Mkoani Iringa" - Mhe. David Mwakiposa Kihenzile, Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi

"Hii ni alama nyingine katika nyingi zilizowekwa na Serikali ya awamu ya Sita inayoongonzwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia fedha takribani milioni 700" - Mhe. David Mwakiposa Kihenzile, Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi
 

Attachments

  • Screenshot 2024-09-30 at 18-15-49 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    Screenshot 2024-09-30 at 18-15-49 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    588.4 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-09-30 at 18-15-53 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    Screenshot 2024-09-30 at 18-15-53 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    800.7 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-09-30 at 18-15-58 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    Screenshot 2024-09-30 at 18-15-58 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    811.5 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-09-30 at 18-16-03 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    Screenshot 2024-09-30 at 18-16-03 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    784.6 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-09-30 at 18-16-08 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    Screenshot 2024-09-30 at 18-16-08 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    832.8 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-09-30 at 18-16-12 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    Screenshot 2024-09-30 at 18-16-12 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    848.7 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-09-30 at 18-16-16 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    Screenshot 2024-09-30 at 18-16-16 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    783.3 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-09-30 at 18-16-20 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    Screenshot 2024-09-30 at 18-16-20 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    836.5 KB · Views: 2
  • Screenshot 2024-09-30 at 18-16-24 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    Screenshot 2024-09-30 at 18-16-24 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    785.2 KB · Views: 2
  • Screenshot 2024-09-30 at 18-16-28 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    Screenshot 2024-09-30 at 18-16-28 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    816 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-09-30 at 18-16-32 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    Screenshot 2024-09-30 at 18-16-32 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    840.7 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-09-30 at 18-16-36 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    Screenshot 2024-09-30 at 18-16-36 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    837.9 KB · Views: 3
Back
Top Bottom