Kihasibu Yanga wamepata faida iliyofichwa kwa kupandisha matumizi, Mfano ni kipengere cha mishahara ya bilioni 7.3

gearbox

JF-Expert Member
Apr 20, 2024
563
1,762
1718025975608.png

kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4

kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3

Wanaopata milioni 25 wawili
Wanaopata milioni 20 wawili
Wanaopata milioni 15 watatu
Wanaopata milioni 10 sita
Hao wengine wanaobaki fanya milioni 5

Kwa makadirio ya juu, mishahara ya yanga princes na timu ya vijana milioni 400

Kwa makadirio ya juu, mishsahara ya benchi la ufundi timu zote milioni 700

Mishahara ya kina Ally kamwe, Priva, Abdul. Graphics desiners, wapishi, wafagizi, n.k. kwa makadirio milioni 500

Mishahara ya wahasibu, mameneja, wanasheria, kwa makadirio bilioni 1

Jumla ni BILIONI 5.3
 
Wewe unataka tunajidili mahesabu halafu unakuja na assumption eti fanya mil 5, acha upuuzi ukitaka tujadili hoja yako njoo na jedwali halisi inayoonesha waajiriwa wote na mishahara yao.
Unapoteza nguvu zako kumjibu pale wenye akili ni wawili tu.
 
Hapo nahisi kuna ujanja wa kukwepa kodi,hesabiu zinaonyesha kuna hasara ya bil 1 kimkakati.
Mkuu, utakuwa umeajiriwa au kujiajiri wapi usijue kuwa mishahara inaambatana na kodi? Labda useme kuhamisha kodi sio kuikwepa.

Ukisema nina hasara sababu ya mishahara mikubwa TRA inaomba Payrol tu na kuangalia kama PAYE, SDL, WhT zimelipwa kulingana na figure ya mshahara na kinachokwepa wala huwa si kikubwa tena kinaweza kuzidi maana PAYE ni noma sana kwa mishahara mikubwa.
 
Nimekuelewa mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom