Kihasibu "Prince Dube" ni LIABILITY, Milioni 500 za kumvunjia mkataba na kumpa milioni 30 kila mwezi ni kipigo kizito kwa Yanga

G Tank

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
2,067
7,917
Wengi wanakurupuka kwenye kchaka cha Kibu Dennis,

Kibu alijiunga simba akiwa mchezaji huru, Yanga walivmsajili Dube kwa milioni 500

Kibu yupo kwa miaka mitatu kashafunga sana anavumilika, Dube kashaanza kuonekana mzigo, havumiliki.

Dube anangia Yanga analipwa milioni 30, Kibu kapambana sana hadi kuboreshewa mkataba wa kulipwa mshahara milioni 15 (Nusu ya mshahara wa Dube)
 
Another shi* is here...

Hamna timu ambayo haijawahi kupata hasara kwenye usajiri. Unless Kama sio MTU WA Mpira ndio hutaelewa.

Unadhan wakina sawadogo walileta faida kihasibu??
kwani kasema yanga ndo wa kwanza kupata hasara kwenye usajili? Mbona unakurupuka?
 
Back
Top Bottom