Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,190
- 2,892
Polisi Kigoma wametoa ufafanuzi kuhusu taarifa za upotoshaji zinazozungumzia kukamatwa kwa wanaodaiwa kuwa viongozi wa CHADEMA. Polisi wamesema wanashikilia wahalifu wanne kwa tuhuma za mauaji, na kwamba hakuna mtu yeyote aliye juu ya sheria.