Kigogo wa serekali akojoa hadharani

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,856

Kigogo huyu wa serekali amechimba dawa hadharani.Chezea kojo weyeee
 
Angekuwa babaako/mama yako ungepost hiyo picha na maneno hayo? Ni hekima kidogo tu inahitajika kutambua upumbavu uloufanya.
 
Bwanyeye huyo anashindwa kupita kiurahisi hapo.

Huyo hakojoi wala nini.

Si unaona hapo hajashika dudu wala nini
 
Thubutu yake kwa wajeda hapo ( kambi ya jeshi ya Lugalo wanakouza hayo Matrekta ) wasingemwacha hata kama ni kigogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…