ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 68,621
- 77,064
Naunga mkono hoja ya Kageme na Rwanda ya makanisa yote kuanza kutozwa Kodi kulingana na Mapato wanayokusanya.
Kanisa kama RC ukiacha sadaka lakini Lina utitiri wa miradi ya aina mbalimbali ambayo inaingiza mabilioni lakini sijawahi sikia hata siku Moja kwamba wamewapunguzia sadaka au rundo la michango waumini wao ambao 90% ni maskini.
Hawa viongozi wa makanisa wanatumia ujinga wa watu kutoelewa na kuwajaza hofu za kimaandiko ya kifalsafa na saikolojia kuteka ufahamu wao na kuwafanya wawe docile Ili waweze kuwachezea Kwa namna mbalimbali ambayo wanataka ikiwemo kuwatumikisha Kwa kuwatoza Fedha Kwa jina la sadaka.
Viongozi wa dini za kizungu na kiarabu wanaishi maisha ya Kifahari huku wakiwaaminisha waumini wao mambo ambayo hayapo kwamba waishi Kwa mifano ya Yesu na kuhimiza utoaji huku wao wakioshi maisha ya anasa na kula maisha.
Wengine kina Mwamposa na wengineo wanawauzia Hadi bidhaa wanazoita Zina upako eti zitawasaida wapate miujiza ya Mali,magari ,Fedha nk
My Take
Tanzania isione aibu kuiga mfano huu mzuri wa Rwanda.Watu wajinga hawawezi kuisha Duniani ila ni wajibu wa Serikali kuwasaidia dhidi ya matapeli Kwa mgongo wa dini.
Dini zote asili yake na muendelezo wake ni utapeli,Sasa Wanasiasa wanashirikiana na hao matapeli kuwafukafisha Wananchi.