Kifusi chaua watu watatu na kujeruhi saba huko Mara

Bernard bakari

JF-Expert Member
Mar 30, 2016
407
781
Taarifa nilizozipata hivi punde kupitia breaking news ya ITV watu 3 wamekufa na saba wamejuruhiwa katika mgodi wa Buhemba uliopo mkoani Mara baada ya kufukiwa na kifusi.

Mungu aziweke mahali pema peponi roho za marehemu Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…